Binafsi yangu naona siku Utakapopatwa na #Shurba ndipo Utakaposadiki Utukufu wa Mwenyezi Mungu na Kutambua Uwepo wake,
Kwa nini Mungu huyo anatambulika tu wakati wa shurba?
Kama Mungu alitaka atambulike, aabudiwe, asadikiwe na asujudiwe. Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu, watakao mtambua yeye yupo pasipo utata?
Na afute ufahamu wa sisi binadamu kutomtambua yeye Hayupo.
Kama Mungu huyo anaweza yote, kwa nini ajifiche? Akionekana hadharani kwamba yeye ni Mungu, itabadilisha nini yeye kuwa Mungu?
Siwezi Kulaumu wala Kushangaa maana Maisha ya Mwanadamu Duniani ni Fumbo au Mfano wa Giza (Ndiyo maana kuthibitisha hilo hatujui kinachojiri hata lisaa limoja inayofuata) kifupi hatujui kesho yetu.
Kama unakiri kwamba maisha ya mwanadamu duniani ni fumbo, Na hatuwezi kujua wala kuthibitisha kinachojiri, Na hatujui kesho yetu..👇
Sasa, Ni nani aliye jua kwamba Mungu huyo yupo?
Huyo aliyesema Mungu yupo,Alijuaje na ali thibitishaje Mungu huyo yupo?
Maana, si binadamu wote hatujui kesho yetu wala kinachojiri mbele yetu.
Aliyesema Mungu yupo yeye aliwezaje kufahamu hilo?
Alimwona wapi huyo Mungu?
Mwenyezi Mungu ndio anajua kwanini amekupitisha katika hali hii ya Utambuzi na Pengine yeye pia anafahamu ni Lini Atakupatia Ufahamu wa Kumtambua ama Pia Kutomtambua Wote hatujui lakini what I know ni Kwamba Mwenyezi Mungu anazungumza katika kitabu kitakatifu cha Quran kwamba "Hakika ni Kwamba Mwanadamu hawezi kuadhibiwa mpaka pale ambapo atakuwa Amefikishiwa Ujumbe na Kuukataa". So ndugu yangu
Infropreneur you never know probably this is the right time for you to get informed and turn back from Losting Forever. May God bless you.....!
Kama mwenyezi Mungu alitaka tumfahamu yeye yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu watakao mtambua yeye yupo kwa wakati wote?
Na kufuta ufahamu wa sisi binadamu kutomtambua yeye Hayupo?