Binadamu anaunganishwa na nguvu katika mazingira ya hapa hapa duniani, zipo kanuni za kimaumbile ukiweza kuzifuata tu na kuzielewa utaelewa namna gan kila kitu kinavyofanya kazi , ili uelewe haya mambo unatakiwa uvunje mipaka yako ya kifikra , ambayo imekufunga sehemu moja tu .
Imani katika dini , Mungu na pesa ni man made ,ili uzidi kukaa kwenye mfumo , wewe jiulize bila Binadamu , pesa, Mungu, na dini zina thamani gani?
Ila asili katika mjumuiko wake haihitaji Binadamu ili kuwepo ila Binadamu yupo kwenye mfumo wa asili .
Umwamni Mungu ,yesu au nan kama haujui namna yakutembea kwenye mifumo ya kiasili utapigwa tu bili kujali unasali sna au hausali kabisa, unaamini uwepo wa mungu au hauamni ,nature itakukataa tu na kukuletea mfadhaiko wa kiakili nakuona mungu kakuacha kumbe hata kiumbe mungu hakipo .
Kwa kuanzia tu tunapaswa kujifunza low of attraction( cause and effect)zinavyofanya kazi , kuliangana na , hisia, matendo na mawazo yetu , ili kuboresha matokea chanya kwanza, then tutapata nguvu hata za kusema nadharia ya mungu kuwa ni muweza wa yote .