Naona umerudi tena [emoji23]
Rudi kwa HOJA
Ahsante, endelea kujadiliana na wana wengine
[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umerudi tena [emoji23]
Rudi kwa HOJA
Mchakato wa kufanyika kwa hivyo ulivyotaja ulitakiwa uvijue darasa la tatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama MUNGU hayupo ile chumvi iliyopo kwenye maji ya bahari ameweka babu yako?
Na ile sukari iliyomo kwenye nanasi kaweka mjomba wako?
Kwenye hio Quran unayoibeza Allah amezungumzia miaka 1400 iliyopita mambo haya hapa ya Kisayansi ambayo wanasayansi wa karne hii ya 21 baada ya mapinduzi makubwa ya teknolojia wamekuja kuthibitisha kua mambo yote hayo ni ukweli mtupu.
View attachment 2826737View attachment 2826738View attachment 2826739View attachment 2826740View attachment 2826741View attachment 2826742View attachment 2826743View attachment 2826744
Kwa sababu hayupo ni imani tu za watuMbona mungu anapiganiwa Sana, kuliko yeye mwenyewe
Yupo ndani ya hizo attachment [emoji16][emoji16]Jaaa, tuonyeshe huyo mungu Yuko wapi sasa
Kwa hiyo Mungu ni oxygen?Wewe unaamini ili uishi ni lazima uvute hewa safi ya Oxygen.
Kwa macho yako ushawahi kuiona hewa ya Oxygen?
Alafu mungu Katoa mitume na vitabu vYake mashariki ya Kati TU, Australia, Africa, America N,S, Europe hakutoa Mtume hata mmoja, mungu ni mbaguzi #1.Kwa sababu hayupo ni imani tu za watu
Huyo mvaa kobasi, ameshakuwa brainwashed, hawezi fikiri nje ya boxKwa hiyo Mungu ni oxygen?
No,,,ukisoma hiko kitab utajua Kuna kitu kilifanyika ndguKama ulidanganywa?
Alafu mungu Katoa mitume na vitabu vYake mashariki ya Kati TU, Australia, Africa, America N,S, Europe hakutoa Mtume hata mmoja, mungu ni mbaguzi #1.
Kwa sababu hayupo ni imani tu za watu
Hao walikuwa wanamsifu na kusujudu wako wapi?
Ukisha sema Mungu anajua ,tayari ushajipinga mwenyewe kuhusu Mungu sio kiumbe.Yes Mungu ni kwa IMANI, kwasababu Mungu sio kiumbe kama wewe au kitu kingine ambacho unaweza kukutana nacho sehemu au ukaingia mahabara kumpima
Kosa kubwa mnalo lifanya ni kutumia vibaya free will aliyotupa
Mungu anajua ni kwasababu gani ametupa free will kuamua tutakavyo
Lakini ni yeye tu anayejua ni kwanini ametuumba na changamoto hapa duniani
Kuna sababu kwanini umepewa akili na maarifa zaidi kukabiliana na changamoto za duniani kuliko wanyama wote
Uzuri wa Mungu ni kwamba hakukazimishi kumtambua sababu amekupa free will
Na atakuja kukuhukumu kwa matumizi yako ya uhuru aliokupa
Imani ni moja ya milango ya fahamu?
Ukisha sema Mungu anajua ,tayari ushajipinga mwenye kuhusu Mungu sio kiumbe.
Ni kwel kabisa kwa sababu Mungu ni dhana tu iliyokichwani kwa mtu alie aminishwa.Mkuu huo ni mtazamo wako kwamba kinachojua lazima kiwe kiumbe, hapo nimetoa mfano tu kwamba Mungu sio kitu utakutanacho physical au kukipima mahabara
Hoja hapa ni uwepo wa Mungu
Ni kwel kabisa kwa sababu Mungu ni dhana tu iliyokichwani kwa mtu alie aminishwa.
Kama Mungu sio kiumbe mbona anasifa za kiumbe hai
Kusikia
Kunusa .
Kuona
Kukasirika
Kusema
Mungu ni kiumbe cha kufikirika.
Upo sawa ila haya mambo yanakuwepo kichwani kwa muumini tu na sio uhalisia kamili , ni bora useme umeamini tu na sio njia ya ukwel kabisa wa mambo, kwa sababu hauna njia ya kudhibitisha wewe umeaminishwa tu .Kwa mujibu wa Bibilia ninayo iamini Mungu katuumba kwa mfano wake
Kuna ajabu gani sasa akisikia au kuona nk?
Kiumbe its just a name kuonyesha kitu fulani kina uhai
God is beyond that
Upo sawa ila haya mambo yanakuwepo kichwani kwa muumini tu na sio uhalisia kamili , ni bora useme umeamini tu na sio njia ya ukwel kabisa wa mambo, kwa sababu hauna njia ya kudhibitisha wewe umeaminishwa tu .
Space and Time, ni sisi binadamu tulio invent,Mungu sio mtumwa wa space, time and matter
Hakuna mlango wa fahamu unaweza kufanya kazi nje ya hapo