Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama MUNGU hayupo ile chumvi iliyopo kwenye maji ya bahari ameweka babu yako?
Na ile sukari iliyomo kwenye nanasi kaweka mjomba wako?

Kwenye hio Quran unayoibeza Allah amezungumzia miaka 1400 iliyopita mambo haya hapa ya Kisayansi ambayo wanasayansi wa karne hii ya 21 baada ya mapinduzi makubwa ya teknolojia wamekuja kuthibitisha kua mambo yote hayo ni ukweli mtupu.

View attachment 2826737View attachment 2826738View attachment 2826739View attachment 2826740View attachment 2826741View attachment 2826742View attachment 2826743View attachment 2826744
Mchakato wa kufanyika kwa hivyo ulivyotaja ulitakiwa uvijue darasa la tatu.
 
Kwa sababu hayupo ni imani tu za watu

Yes Mungu ni kwa IMANI, kwasababu Mungu sio kiumbe kama wewe au kitu kingine ambacho unaweza kukutana nacho sehemu au ukaingia mahabara kumpima

Kosa kubwa mnalo lifanya ni kutumia vibaya free will aliyotupa

Mungu anajua ni kwasababu gani ametupa free will kuamua tutakavyo
Lakini ni yeye tu anayejua ni kwanini ametuumba na changamoto hapa duniani

Kuna sababu kwanini umepewa akili na maarifa zaidi kukabiliana na changamoto za duniani kuliko wanyama wote

Uzuri wa Mungu ni kwamba hakukazimishi kumtambua sababu amekupa free will
Na atakuja kukuhukumu kwa matumizi yako ya uhuru aliokupa
 
Ukisha sema Mungu anajua ,tayari ushajipinga mwenyewe kuhusu Mungu sio kiumbe.
 
Ukisha sema Mungu anajua ,tayari ushajipinga mwenye kuhusu Mungu sio kiumbe.

Mkuu huo ni mtazamo wako kwamba kinachojua lazima kiwe kiumbe, hapo nimetoa mfano tu kwamba Mungu sio kitu utakutanacho physical au kukipima mahabara

Hoja hapa ni uwepo wa Mungu
 
Mkuu huo ni mtazamo wako kwamba kinachojua lazima kiwe kiumbe, hapo nimetoa mfano tu kwamba Mungu sio kitu utakutanacho physical au kukipima mahabara

Hoja hapa ni uwepo wa Mungu
Ni kwel kabisa kwa sababu Mungu ni dhana tu iliyokichwani kwa mtu alie aminishwa.

Kama Mungu sio kiumbe mbona anasifa za kiumbe hai

Kusikia
Kunusa .
Kuona
Kukasirika
Kusema

Mungu ni kiumbe cha kufikirika.
 
Ni kwel kabisa kwa sababu Mungu ni dhana tu iliyokichwani kwa mtu alie aminishwa.

Kama Mungu sio kiumbe mbona anasifa za kiumbe hai

Kusikia
Kunusa .
Kuona
Kukasirika
Kusema

Mungu ni kiumbe cha kufikirika.

Kwa mujibu wa Bibilia ninayo iamini Mungu katuumba kwa mfano wake
Kuna ajabu gani sasa akisikia au kuona nk?

Kiumbe its just a name kuonyesha kitu fulani kina uhai

God is beyond that
 
Kwa mujibu wa Bibilia ninayo iamini Mungu katuumba kwa mfano wake
Kuna ajabu gani sasa akisikia au kuona nk?

Kiumbe its just a name kuonyesha kitu fulani kina uhai

God is beyond that
Upo sawa ila haya mambo yanakuwepo kichwani kwa muumini tu na sio uhalisia kamili , ni bora useme umeamini tu na sio njia ya ukwel kabisa wa mambo, kwa sababu hauna njia ya kudhibitisha wewe umeaminishwa tu .
 
Sijajua wewe unataka Mungu athibitishwaje? Mahabara? Au umuone kwa macho mkuu?

Tatizo ni free will na maarifa Mungu aliyotupa ndio yanatufikisha hapa

Mimi nimeishi nikimuamini Mungu na nimeona uwepo wake kwenye maisha yangu
Kama humuamini huwezi kumjua
 
Mungu sio mtumwa wa space, time and matter

Hakuna mlango wa fahamu unaweza kufanya kazi nje ya hapo
Space and Time, ni sisi binadamu tulio invent,
Kwenye vitabu vyenu hawajaeleza issue ya space and time.

Na Kwa mujibu ya nadharia ya space and time,
Hakuna kinacho exists nje ya space and time
 
Back
Top Bottom