Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Pasikali aisee unawafundisha CNN jinsi ya kuripoti habari?!
Nini CNN, hata BBC!.
P
 
Yaani wewe Pascal Mayalla unanifanya una uelewa wa mambo kuliko BBC au CNN? Hao sio TBC please
Mkuu Elli M , Journalism ni fani yenye misingi yake dunia nzima, hiyo hata mwandishi wa kawaida anaweza kukosoa BBC na CNN kama hawakufuata misingi kama nilivyo kosoa BBC hapa.
P
 
Mkuu Elli M , Journalism ni fani yenye misingi yake dunia nzima, hiyo hata mwandishi wa kawaida anaweza kukosoa BBC na CNN kama hawakufuata misingi kama nilivyo kosoa BBC hapa.
P
Hapana Kaka, hapana kuna issue nyingi ikiwepo resources, exposure, independence na sources ya taarifa zako, ambavyo kwa mtizamo wangu hivi vitu kwa Waandishi wa Tanzania na watu wao caliber yajo huwezi kuwa navyo au ukiwa navyo huvitumia kujijenga kuliko kutoa taarifa. Wewe kumbuka ni Kada wa CCM. Hii tu inaharibu Taarifa zako na kukosa credibility pakubwa sana
 
Umemsagia chawa.
 
Ahsante sana kwa kujaribu kumsaidia.
Huyo ni Mwandishi wa habari ambae kajiharibia zaidi kwa kutetea udhalimu.
Sasa hivi anahangaika sana kulazimisha ili yeye ndio awe habari.
 
Hayo aliyafanya KiBBC, hata Tido alipokuwa BBC aliibananisha sana serikali ya Mkapa, lakini alipokuja TBC akabadilika.
Vivyo hivyo huyu nguli asiwe judged based on BBC, awe judged based on uwezo, weledi na exposure, atamsaidia sana Mama Yetu na ataisaidia sana nchi yetu. Tumempata mtu well experienced mwenye good exposureä, mwenye the ability, the capacity na the capabilities za kuwa sio Mkurugenzi Press Release, Mkurugenzi Msemaji wa Rais .
Hongera Zuhura Yunus.
Welcome on Board.
Paskali
 
Historia itakuhukumu siku zote. Huwezi ukawa kama kinyonga kisa maslahi tu. Kuichafua nchi, halafu useme leo utaipenda kisa huna pa kwenda sio sahihi kbs. Stm must be wrong
 
Kaka na wewe kwa kupiga u-turn highway hujambo, halafu uzuri wako unapiga tu hata huangalii kushoto wala kulia.
 
Kama wazungu waliweza kumtoa gadafi ndio watashimdwa magufuli?

Tuacheni hizi mambo jaman,

Kubali kataa, Wazungu wana nguvu Sana Tena Sana,
Mkuu hp4510, kuna kitu nilikuwa nadurusu, ndio nikakutana na hii post yako ya 2020, kiukweli haya uliyoyasema, ukilinganisha na kilicho tokea, yanatafakarisha sana!.
RIP JPM.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…