Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Kwamba Rais Sadam Hussein ni hatari sana na anatengeneza Siraha za sumu
 
6.Uhuru na Serikali
Uwepo was Serikali ndio mwisho was Uhuru wako

7.Wewe ni Serikali
Mtu anayenyongwa ni ameamua kujinyonga kwa kua yeye ni Serikali basi Maamuzi ya Serikali ni Maamuzi yake.
 

Umesahau X-mas na Easter.
Bila kusahau siku kuu ya kuzaliwa.
 
Cancer ni ugonjwa mkuu,,,,
Naomba niweke sawa Hapa…..
Mwili una mfumo wa kusimamia kugawanyika, kuongezeka na kufa kwa seli za mwili,,,,

Iko hivi cancer ni ugonjwa unaosababishwa na mpangilio usio sahihi wa kujigawanya na kufa kwa seli za mwili,,,

Inategemea na sehemu Husika ya mwili, mfano seli za ngozi utapata cancer ya ngozi, seli za utumbo utapata cancer ya utumbo,seli za mapafu utapata cancer ya mapafu,,, seli za ubongo utapata cancer ya ubongo,,,,,n.k

Pia dalili zinategemea hiyo cancer ipo sehemu gani ya mwili.
 
Kwamba wambea ni waongo,kumbe ni ukweli uliowahishwa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…