Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

Chai
 
Ki ukweli kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma watu ambao nilikuwa nawajua ambao walikuwa ni member wa jf walikuwa wamiliki magari, Na kati ya hao ni mmoja tu alikuwa ana diploma ya IT ila sasa hiv ana miliki jiwe.
 
Hujawahi kukosea luv, [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…