Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe muongo, Acha ujuwajii.Kwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi. Kila mtu vile.
Ili mradi tu ni ‘kila mtu’.
Huo ni uongo. Ni uzushi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo ‘kila’ mtu anasema alivyo na/au alichonacho.
JF ina wanachama mamia ya maelfu.
Kusema kwamba kila mmoja wao hao watu huwa anasema hayo yanayosemwa, ni uzushi mkubwa.
Mliozoea kutunga uongo acheni mara moja.
Hamjawahesabu wanachama wote wa JF, wa kwanza hadi wa. mwisho, na kupata mitazamo yao juu ya mambo mbalimbali.
Kukaribisha uzushi kama huo kichwani mwako kunaonyesha jinsi mtu alivyo goigoi wa kufikiri.
And with that, I yield the balance of my time for others to chime in.
Happy hump day 😉.
Hapo nimeelewa, wasalimie watoto
nakukubali fundi. tuliongea nkirudi dar nifikie buguruni unitafutie chumba maeneo hayo lakn nlibadili mawazo kaka.Mimi nakaa Buguruni mkuu, uswahilini haswa.
Sijawahibkujigamba kama wafanyavyo member wengine kwamba wanaishi maisha ya 5 star
kuna mmoja anajiita Shimba bunyeze, anasema Ana miaka 78 kila mwaka
ni kweli, huyo ni miaka yake kabisa, nimesoma nae, hata la kwanza alianza na hiyo hiyo, mwaka 1978
😂😂😂😂😂😂😂 muache babu yangu aisee sasa hivi ana 83
Manfried na kundi lako mnanionea tu. Sijawahi kudanganya kuhusu umri wangu; na miaka yangu haipo pale pale kama ya Wema Sepetu. Mshindweeeee!Ngosha the don huyu anasema miaka yako ipo pale pale kama ya sepetu
Hata binadamu wanajiita nyaniKwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi. Kila mtu vile.
Ili mradi tu ni ‘kila mtu’.
Huo ni uongo. Ni uzushi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo ‘kila’ mtu anasema alivyo na/au alichonacho.
JF ina wanachama mamia ya maelfu.
Kusema kwamba kila mmoja wao hao watu huwa anasema hayo yanayosemwa, ni uzushi mkubwa.
Mliozoea kutunga uongo acheni mara moja.
Hamjawahesabu wanachama wote wa JF, wa kwanza hadi wa. mwisho, na kupata mitazamo yao juu ya mambo mbalimbali.
Kukaribisha uzushi kama huo kichwani mwako kunaonyesha jinsi mtu alivyo goigoi wa kufikiri.
And with that, I yield the balance of my time for others to chime in.
Happy hump day 😉.
Mimi kweli ni mzee ila huyo mwenzangu huyo mh! Huwa wanamwita mzee/babu wa mchongo sijui kwa nini 😂😂😂Shimba ya Buyenze na Grahams ni wazee sasa🤣🤣🤣
umetisha Sana Ila huu mwandiko wako mbona kama wa Kijana.Manfried na kundi lako mnanionea tu. Sijawahi kudanganya kuhusu umri wangu; na miaka yangu haipo pale pale kama ya Wema Sepetu. Mshindweeeee!
View attachment 3242483
View attachment 3242484
View attachment 3242485
View attachment 3242486
🤣🤣🤣🤣🤣JF ina wanachama mamia ya maelfu.
Naombeni mnisaidie gereji nzurii ya kuipeleka gari yangu NISSAN note 13c🤣🤣🤣🤣Kuna maelfu ya nyuzi humu watu wanatafuta kazi hata za kulipwa 200,000. Zipo nyuzi nyingi watu wakieleza kero au vituko vya daladala na mwendokasi. Halafu mtu akiona uzi mtu anaomba ushauri kuhusu gari yake, au akapiga stori akizungumzia gari yake eti anacomment JF kila mtu ana gari!
Anyway. Nataka nibadilishe gari. Kwa sasa natumia Subaru Forester. Nafikiria kununua Mazda CX 5 au Harrier. Naomba ushauri, nichukue ipi kati ya hizo mbili?
Jamii Forums kila mtu ana gari!Naombeni mnisaidie gereji nzurii ya kuipeleka gari yangu NISSAN note 13c🤣🤣🤣🤣
Mkuu,Mimi kweli ni mzee ila huyo mwenzangu huyo mh! Huwa wanamwita mzee/babu wa mchongo sijui kwa nini 😂😂😂
View attachment 3242496
View attachment 3242497
➡️➡️➡️ Halafu we kijana kuna tuhuma dhidi yako nzito tu nimekutana nazo mahali. Ngoja tu 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️