Mkuu ebu elewa na usiburuzwe...tambua kutokana na utimu uliopo usitegemee jamaa atamuongelea vyema KIBA...sasa nimemwambia hakuna aliyepinga lakini ili tukubali alichosema inabidi aweke "DIGITAL APPLICANTS DETAILS ZA ALIKIBA KWA AFRIMA"...nasio kukubali tu kwa maneno aliyoyaandika yeye menyewe ukizingatia ni ishu ambayo sio popular ndo yeye ameileta hapa...maana ata mie naweza nikaja apa jukwaani nikaandika ishu mbaya ya mondi,je itakubalika pasipo na ushahidi?
mbona daimond katuma taarabu kadanganya ni bongofleva "nasema nawe"Utaratibu wa tuzo n kila msanii anatuma nyimbo zke mwenywe ndo,maana nimesema kiba kadaganya Ana album ya mwana
kama hawaangalii category kwa nn mzee yusuph hayupo na jahazi????Hamna category ya bongo fleva kule kuna wimbo bora
sawa haya kiba kabebwa na mtoto ni wa nani????Mzee yusuph haja tuma nyimbo elewa kila msanii anatuma nyimbo yke afrima committee wanaichambua
tena badilisha title hapo juu andika "uongo wa daimond kwa tiffah" sawa kedrick
We mwnyw unanauhakika ka Hugo ndio baba yako.maisha ya mtu binafs yale watu maneno bhac atakuwa Mtoto wako ufurah
We mwnyw unanauhakika ka Hugo ndio baba yako.maisha ya mtu binafs yale watu maneno bhac atakuwa Mtoto wako ufurah
Utaratibu wa tuzo n kila msanii anatuma nyimbo zke mwenywe ndo,maana nimesema kiba kadaganya Ana album ya mwana
wakati alipozaliwa ukasema ana followers wengi na ukasema utatupa maendeleo ya mtoto sasa king laurence na uvani wanataka mtoto wao au hukuiona hiyo habari unahangaika na kiba stupi.d
Duuh ila asipanki hadi aseme uongo kama ipo ipo tu.. Mond alianza mdogomdogo leo yule xo asijili atafika ila now tunataka tz yny mabadiliko sio mbwembwe uchwara na uongo
Hahaahaaa!..mkuu hilo swala la kutuma nyimbo zao me nalijua sana hilo labda niongezee tu hawatumi KWA KUWAKABIDHI MKONONI ISIPOKUA NI DIGITAL FORMAT VIA DROPBOX ACCOUNT ZA AFRIMA,SASA NARUDIA TENA HIVII NATAKA UTULETEE HAPA "HIYO DIGITAL APPLICATION ALIYOFANYA ALIKIBA KWENDA KWA HAO AFRIMA"...ILI TUONE KWA MACHO YETU WENYEWE KWELI KIBA ALITUMA UONGO HUO UNAOSEMA WEWE KWA KUWADANGANYA WAANDAAJI WA HIZO TUZO KUWA MWANA NI ALBUM...MBALI NA HAPO WEWE NI MUONGO HATARI TENA WA KUOGOPWA SANA,maana tambua hao AFRIMA wanapokea kazi za wasanii wengi wa aina tofautitofauti tena kwa mwaka huu walisema wamepokea applications elfu-hamsini kutoka kwa wasanii sehemu mbalimbali africa na kuzichambua genre's zake kutokana na maadhi ya nyimbo husika...napia wanazisort izo kazi kwenye kila CATEGORY YA TUZO INAPOSTAHILI BAADA YA KUCONFIRM INASTAHILI HAPO...nasio kwamba wanazisort hizo nyimbo kutokana na msanii anavyowaambia wao na ingekuwa hivyo kila msanii angejichagulia category ya kuwekwa kutokana nayeye anavyohitaji na kupenda pia,KWA HIYO POINT YANGU YA MSINGI HAPO NI KUWA HAWAPANGI KAZI ZA WASANII KWENYE CATEGORY YOYOTE ILE KUTOKANA NA MSANII ANAVYOTAKA YEYE...hivyo punguza Mihemko kijana na sio unakuja na wivu wako hapa baada ya kuzidiwa category huko kwa kuleta nyuzi za kipuuzi kama hizi.
sawa haya kiba kabebwa na mtoto ni wa nani????
.........kiba kawapandia hadi huko huko kila tuzo ya kimataifa kiba yupo ............
Naona shindano ina ime kuigia tulia ww