kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
- Thread starter
- #41
Mkuu ebu elewa na usiburuzwe...tambua kutokana na utimu uliopo usitegemee jamaa atamuongelea vyema KIBA...sasa nimemwambia hakuna aliyepinga lakini ili tukubali alichosema inabidi aweke "DIGITAL APPLICANTS DETAILS ZA ALIKIBA KWA AFRIMA"...nasio kukubali tu kwa maneno aliyoyaandika yeye menyewe ukizingatia ni ishu ambayo sio popular ndo yeye ameileta hapa...maana ata mie naweza nikaja apa jukwaani nikaandika ishu mbaya ya mondi,je itakubalika pasipo na ushahidi?
Utaratibu wa tuzo n kila msanii anatuma nyimbo zke mwenywe ndo,maana nimesema kiba kadaganya Ana album ya mwana