Nimekaa na kufikiri sana na kugundua kuwa wanaosema mwanamke mwenye tabia nzuri ndo mwenye kufaa kuoa au kuwa mke napingana nao sana tena sana kwa kuwa najua mwanamke yeyote duniani anarekebishika tabia Ila mwenye sura kama anapiga chafya habadiliki
Na afadhali awe na kasura kazuri hats akikuuzi utakuwa unaangalia kale kasura kake unamsamehe kuliko uwe na mwanamke sura mbovu tabia mbovu akikuudhi ukimwangalia unatamani umkimbize kwao Ila ndo hivyo unakuwa ushajiingiza mwenye kitanzii
NAWASIHI WANAUME OENI WANAWAKE WENYE SURA NZURI HATA UKIMTAMBULISHA KWA WENZAKO UNAPATA AMANI YA MOYO SIYO SURA MBOVU UKIMTAMBULISHA UNAANZA KUMSIFIA OOOOH MUSIMWONE HIVI ANA TABIA NZURIII ANAJUA KUHUDUMIA WATOTO OOOOH ANAJITUMA SANA OOOOH ANA AKILI
TAMBULISHA HUYU NDO MKE WANGU KAMA KASURA NA KAUMBO KANALIPA