UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Mwanamke sura na tako bwana Tabia siyo issues tunarekebishana na kuvumilianaMkishaoa sura na makalio baada ya miezi kadhaa mnarudi humu kulia lia!! "Ooooh!! Mke wangu hii mke wangu haaa!!"
Mvumiliage tu!!