Uongo wa karne huu: Mwanamke sura! Tabia inatengenezwa

Uongo wa karne huu: Mwanamke sura! Tabia inatengenezwa

Leo wenye sura mbaya zamu yetu kunangwa...nipo hapa mbunge wao tiririkeni na wakati huo mkumbuke hatukujiumba na hakuna namna tutakuwa tofauti na hivi tulivyo ndo tumeshazaliwa. Msisahau pia na kutupa ushauri tufanyeje ili tuweze kuonekana na sisi kwamba ni wanawake na tuna mahitaji yale yale kama wanawake wengine wenye chura na sura nzuri
 
Ukweli mwanamke tako liwepo...hayo mengine ni nyongeza tu...
 
Kuna mdada humu ndani kanikimbia, kabadilisha ID kabisa aiseeeee! Dah acha kabisa
 
Nilijua kubadili sura ni jambo tu la kwenda kwenye duka la urembo na kununua mawigi, ma make-ups sijui, ma formula, ma lip-stiki na lip-shine, ma-powder, lotions, perfumes basi! Kumbe ni kazi kuliko kubadili tabia?
 
UWOGA=UMASKINI, Kama ni Sura nenda ukachukue barmaid au dada poa . Sura na tabia Kwa pamoja bila kuacha kimoja. Wapo wenye Sura nzuri na tabia nzuri pia wapo wenye Sura mbaya + tabia mbaya
 
Write your reply...ni kwel kabisa bila kusahau chura bila hvyo huyo anakua mwanaume mwenzio .mfano kama mkiambiaji riadha wa south Africa semenya ila utakuta kuna mdau amekufa ameoza wanaume tuwage seriously SAA nyngne

Hela mkuu. Hela
 
Kila mtu aowe kinachompendeza kitakachompa furaha kama unaisi mwenye sura na umbo ndyo wakuowa bc muweke ndani. Kama unaowa ili uwaoneshee marafiki zako kuwa umeowa mwanamke mzuri sawa
NB.
Tambua kuna mke mke, kuna mke mkeo, na mke mke Wetu
 
Chura ugonjwa wangu wa asili


Nitafanya utalii wa ndani mbugani kwako
Kwani kuna mtu mwaka huu 2018 bado anasema mwanamke tabia??
Unakuta mdada amepaka poda kama vile mizimu ya bongo movie na wigi lake kichwani kama kabeba kuku..unaanzaje kumuoa?
Mwanamke chura bwana
 
Back
Top Bottom