GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Sasa kama pesa yako ni ya wasiwasi si uoe dizaini hii uondoe presha?ssa mtu kama huyu ukimuoa siwataka ujifie kwa pressure tu ..huyu slay queen kabisaaa upepo wa pesa ukiyumba naye anayumba nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama pesa yako ni ya wasiwasi si uoe dizaini hii uondoe presha?ssa mtu kama huyu ukimuoa siwataka ujifie kwa pressure tu ..huyu slay queen kabisaaa upepo wa pesa ukiyumba naye anayumba nao
Naam la 3aiseee darasa LA 3 ¿??? makubwa haya
kwahiyo kina bakhresa ..bill gate .mack zuckerberg wote hao wameoa watembea uchi ...!!?Sasa kama pesa yako ni ya wasiwasi si uoe dizaini hii uondoe presha?
![]()
Inategemea na kiwango chako cha pesa unaweza ona hata huyu kisu pia.Huyo mbona kisu aisee!
umetishaa mkuuNaam la 3
shangaa weweHuyo mbona kisu aisee!
Baba hapa hatuongelei uchi wala nguo, hapa mjadala ni shepu.kwahiyo kina bakhresa ..bill gate .mack zuckerberg wote hao wameoa watembea uchi ...!!?
nambona lupita nyong'oo hana muonekano kama wa yule aliyevaa uchi uchi ..lakini huwezi kumpata kiboya kama huna cash pia ..so umbo sio tija stahiki boss
mkuu mbona kama hivi hujamuelewa mtoa mada ...mtoa mada hajazungumzia shape ya makalio tu pekee amezungumzia umbo means mwili mzima kuanzia shingoni kushuka chini mpaka miguuni ...ukizungumzia shape ..kama hips ama big boot means kuna waafrica ambao hawana hzo hips kubwa wala makalio makubwa kiasi cha sanchiworld lakini wanavutia vyema tu ..sasa wewe umeichukua hii mada nakuiweka ktika mtazamo wako mwenyew unaouona kuwa unafaa sio jambo baya kufanya hvyo ..bali yakupasa kuheshimu pia na Mawazo ya wenzako pindi wanapoleta mitazamo yao ktika jukwaa...nimeona kuna mtu alikwambia yule binti black uliyempost kuwa nimzuri but ukampinga ..wakati kila mtu anavigezo vykeBaba hapa hatuongelei uchi wala nguo, hapa mjadala ni shepu.
Hayo mambo ya wazungu tuachane nayo, tuongelee flavor zetu blacks kwanza, maana kama hujui Mungu alimuumba adam akiwa black wazungu walitokea baadae sana, kuna ushahidi kuwa race ya wazungu inatokana na malaika walio asi, fallen angels.
Sijampinga baba nimesema ndio kiwango chake, alafu kuhusu shepu mimi nimeweka mtazamo na flevor zangu sasa wewe nawe weka mtazamo wako na flevor zako hamna alie kuzuia utapata tu wa kukuunga mkono kama mimi, jua kua kuna ambao sahizi wanatumia hizo picha nilizo weka kujifariji na kimoja cha faster.mkuu mbona kama hivi hujamuelewa mtoa mada ...mtoa mada hajazungumzia shape ya makalio tu pekee amezungumzia umbo means mwili mzima kuanzia shingoni kushuka chini mpaka miguuni ...ukizungumzia shape ..kama hips ama big boot means kuna waafrica ambao hawana hzo hips kubwa wala makalio makubwa kiasi cha sanchiworld lakini wanavutia vyema tu ..sasa wewe umeichukua hii mada nakuiweka ktika mtazamo wako mwenyew unaouona kuwa unafaa sio jambo baya kufanya hvyo ..bali yakupasa kuheshimu pia na Mawazo ya wenzako pindi wanapoleta mitazamo yao ktika jukwaa...nimeona kuna mtu alikwambia yule binti black uliyempost kuwa nimzuri but ukampinga ..wakati kila mtu anavigezo vyke
Usidhani kuoa mzuri mpaka uwe na pesa, kuna watu laymen wana wanawake wazuri kuliko hata matajiri!!Inategemea na kiwango chako cha pesa unaweza ona hata huyu kisu pia.
![]()
hahaaa giuse bhana ...wewe siulisema kuwa ni achane na wazungu "" halafu hapa wasema kuwa niweke flavor zangu ..wakati nilipokutolea mtazamo wakina lupita nyong'oo uliupinga geeeezzz ....Sijampinga baba nimesema ndio kiwango chake, alafu kuhusu shepu mimi nimeweka mtazamo na flevor zangu sasa wewe nawe weka mtazamo wako na flevor zako hamna alie kuzuia utapata tu wa kukuunga mkono kama mimi, jua kua kuna ambao sahizi wanatumia hizo picha nilizo weka kujifariji na kimoja cha faster.
Samahani brother hearly sikujua kuwa wewe ni muzungu, lakini miss Nyong'o ni mblack pia.hahaaa giuse bhana ...wewe siulisema kuwa ni achane na wazungu "" halafu hapa wasema kuwa niweke flavor zangu ..wakati nilipokutolea mtazamo wakina lupita nyong'oo uliupinga geeeezzz ....
Nakubaliana na wewe sana, wapo mbili katika mia, lakini wana presha hao, ninao baadhi ya marafiki zangu wanamiliki vifaa vya ukweli lakini hawana pesa, hao wanawake wanachungwa kama nini, mmoja alikuwa wala haruhusu mama kwenda hata sokoni kaanza mruhusu baada ya umri kuanza kwenda, Mwingine akikuta rafiki yake mwenye uwezo kifedha kuliko yeye kakaa na waifu wake wanacheka jamaa anakasirika mbaya anahofu kugongewa, wengine wanaweka mpaka ulinzi wa ndumba ( tego)Usidhani kuoa mzuri mpaka uwe na pesa, kuna watu laymen wana wanawake wazuri kuliko hata matajiri!!
Ni wewe tu
mimi sio mzungu lakini sioni kama kuna tatizo lakuwa interest na maumbo ya hao watu pia ...maana kuna blacks wenye maumbo ya kimiss kama wazungu pia ..ndio maana katika uchambuzi wangu nikamgusia lupita...any way ..we gudSamahani brother hearly sikujua kuwa wewe ni muzungu, lakini miss Nyong'o ni mblack pia.
Yes hiyo ndiyo adhabu ya wanawake wazuri ila tabia mbaya, hata ukiwa na pesa ataliwa tu, mi nna ushuhuda wa mke wa ndugu yangu wa karibu ana pesa, mke wake kisu baraa lakini anagawa K bureeee kwa walalahoiNakubaliana na wewe sana, wapo mbili katika mia, lakini wana presha hao, ninao baadhi ya marafiki zangu wanamiliki vifaa vya ukweli lakini hawana pesa, hao wanawake wanachungwa kama nini, mmoja alikuwa wala haruhusu mama kwenda hata sokoni kaanza mruhusu baada ya umri kuanza kwenda, Mwingine akikuta rafiki yake mwenye uwezo kifedha kuliko yeye kakaa na waifu wake wanacheka jamaa anakasirika mbaya anahofu kugongewa, wengine wanaweka mpaka ulinzi wa ndumba ( tego)
doooh mkuu siko hivo... Sasa huyo mbona km dumenakusaidia.
![]()