UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ukue utaelewa kuwa si kila mwanamke/mwanaume unaweza kumbadilisha tabia yake.
Wewe tulia tu sana sana nikushauri chukua karatasi na pen. Andika vigezo wanavyotakaLeo wenye sura mbaya zamu yetu kunangwa...nipo hapa mbunge wao tiririkeni na wakati huo mkumbuke hatukujiumba na hakuna namna tutakuwa tofauti na hivi tulivyo ndo tumeshazaliwa. Msisahau pia na kutupa ushauri tufanyeje ili tuweze kuonekana na sisi kwamba ni wanawake na tuna mahitaji yale yale kama wanawake wengine wenye chura na sura nzuri
Duh!!
Naomba nikiri tu, huyu mtoto ni mzuri sana.
Kila namba ina ladha yake kwa hiyo nitatumia zote[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 976458
Sogea sasa wenzako nao wakaeNaweka kambi hapa.
Usijali tutachimba dawa mbele hukoBado safari ni ndefu
[emoji2][emoji2]Naomba nikiri tu, huyu mtoto ni mzuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekaa na kufikiri sana na kugundua kuwa wanaosema mwanamke mwenye tabia nzuri ndo mwenye kufaa kuoa au kuwa mke napingana nao sana tena sana kwa kuwa najua mwanamke yeyote duniani anarekebishika tabia Ila mwenye sura kama anapiga chafya habadiliki
Na afadhali awe na kasura kazuri hats akikuuzi utakuwa unaangalia kale kasura kake unamsamehe kuliko uwe na mwanamke sura mbovu tabia mbovu akikuudhi ukimwangalia unatamani umkimbize kwao Ila ndo hivyo unakuwa ushajiingiza mwenye kitanzii
NAWASIHI WANAUME OENI WANAWAKE WENYE SURA NZURI HATA UKIMTAMBULISHA KWA WENZAKO UNAPATA AMANI YA MOYO SIYO SURA MBOVU UKIMTAMBULISHA UNAANZA KUMSIFIA OOOOH MUSIMWONE HIVI ANA TABIA NZURIII ANAJUA KUHUDUMIA WATOTO OOOOH ANAJITUMA SANA OOOOH ANA AKILI
TAMBULISHA HUYU NDO MKE WANGU KAMA KASURA NA KAUMBO KANALIPA