Uongo wa karne huu: Mwanamke sura! Tabia inatengenezwa

Uongo wa karne huu: Mwanamke sura! Tabia inatengenezwa

dah,mkuu hongera sana kwa udambwi dambwi aise...
uko vizuri kwa ufafanuzi wako,nimeupenda.
na huo ndiyo ukweli mtupu,nyongeza ni kuwa sura hata mbuzi anayo sisi tunatazama wowowooo..wana maana yake nao walioimba huu wimbo,
chagua yule mtu anayekuvutia kwanza kwa muonekano,halafu uangalie tabia.
ni hayo tu
 
[emoji6][emoji6][emoji6]
Screenshot_20181003-074311_1.jpeg
 
Sasa oa huyo si unataka sura
 

Attachments

  • VID-20191128-WA0008.mp4
    507.2 KB
Leo wenye sura mbaya zamu yetu kunangwa...nipo hapa mbunge wao tiririkeni na wakati huo mkumbuke hatukujiumba na hakuna namna tutakuwa tofauti na hivi tulivyo ndo tumeshazaliwa. Msisahau pia na kutupa ushauri tufanyeje ili tuweze kuonekana na sisi kwamba ni wanawake na tuna mahitaji yale yale kama wanawake wengine wenye chura na sura nzuri
Wewe tulia tu sana sana nikushauri chukua karatasi na pen. Andika vigezo wanavyotaka
Kama Chura..... Wachina wapo
Kama hips Chinese wapo
Kama mtindi zipo tu midoli
Wakisema nywele ,, Mawig yapo

Wanaume mbona hawana pa kukimbilia kama ni makalio na hips unakuwa unazivua mkizima taa

Colour white pharmacy zipo
 
Nimekaa na kufikiri sana na kugundua kuwa wanaosema mwanamke mwenye tabia nzuri ndo mwenye kufaa kuoa au kuwa mke napingana nao sana tena sana kwa kuwa najua mwanamke yeyote duniani anarekebishika tabia Ila mwenye sura kama anapiga chafya habadiliki

Na afadhali awe na kasura kazuri hats akikuuzi utakuwa unaangalia kale kasura kake unamsamehe kuliko uwe na mwanamke sura mbovu tabia mbovu akikuudhi ukimwangalia unatamani umkimbize kwao Ila ndo hivyo unakuwa ushajiingiza mwenye kitanzii

NAWASIHI WANAUME OENI WANAWAKE WENYE SURA NZURI HATA UKIMTAMBULISHA KWA WENZAKO UNAPATA AMANI YA MOYO SIYO SURA MBOVU UKIMTAMBULISHA UNAANZA KUMSIFIA OOOOH MUSIMWONE HIVI ANA TABIA NZURIII ANAJUA KUHUDUMIA WATOTO OOOOH ANAJITUMA SANA OOOOH ANA AKILI

TAMBULISHA HUYU NDO MKE WANGU KAMA KASURA NA KAUMBO KANALIPA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom