Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

Hana kabsa. Yan hoja hazion. Huyu sijui kama ana hata za kujua kuingiza oxygen na kutoa carbondioxide au anafanya kinyume
Huyu johnthebaptist hujui kuwa ni mwandishi wa gazeti la CCM la Uhuru...?

Kwa hili tu unaweza kuwa na jibu la huyu ni mtu wa namna gani, kwamba huwezi kupata jema lolote toka huko...!
 
Back
Top Bottom