The Palm Tree JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 7,951 Reaction score 12,541 Nov 19, 2021 #21 Rwaz said: Hana kabsa. Yan hoja hazion. Huyu sijui kama ana hata za kujua kuingiza oxygen na kutoa carbondioxide au anafanya kinyume Click to expand... Huyu johnthebaptist hujui kuwa ni mwandishi wa gazeti la CCM la Uhuru...? Kwa hili tu unaweza kuwa na jibu la huyu ni mtu wa namna gani, kwamba huwezi kupata jema lolote toka huko...!
Rwaz said: Hana kabsa. Yan hoja hazion. Huyu sijui kama ana hata za kujua kuingiza oxygen na kutoa carbondioxide au anafanya kinyume Click to expand... Huyu johnthebaptist hujui kuwa ni mwandishi wa gazeti la CCM la Uhuru...? Kwa hili tu unaweza kuwa na jibu la huyu ni mtu wa namna gani, kwamba huwezi kupata jema lolote toka huko...!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 20, 2021 #22 Kuna muda mambo ya kiserikali ni magumu sana...