Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Ukoo mzima hamna kazi za kufanya mnazozana na bikra ya mtu kweli!
Jambo muhim ni mahusiano mema.
Basi tu bado kuna jamii zinaamin mwanamke ni bidhaa na mtu daraja la 2!
Bikra zina tafsir 2.
1. Bikra ya utando (membrane) hasa kwa wasichana wadogo.
2. Bikra ya kutoingiliwa na mwanaume.
Ina maana msichana anaweza kuwa hana utando na hajawai kuguswa. Hata baiskeli huzitoa nyavu. Au kubakwa na ndugu.
Katika zote hizo hakuna ya maana kuwa na mke bora!
Ishu nafikili ni jamaa kajitunza,
Afu pia kudanganywa.
 
Sasa Mwanaume bikira anajulikana vipi?,huyo mume aache ufala, huyo dada nae alishindwa kudanganya kuwa imetoka wakati akiendesha baiskeli?....wapo wapi hao wanandoa niwaletee kile kindoo cha Kinaigeria ukikanyaga tu...kinacount nimalize hilo tatizo chap.
 
1. Binti alikosea kusema UONGO, kama alijijua si bikra angekataa hyo ndoa kwa sababu nyengine zozote tu na haitakiwi kumwambia mtu siri zako si mume si wazazi haifai kabisa kabisa yaliyopita yamepita ni wewe na Mungu wako bassss.

2. Huyo jamaa hajawahi kusex vipi ajue kwamba binti si BIKRA? Na wakati bikra si lazima iwe na hymen .
Labda jamaa ni mzoefu akadanganya tu hajawahi kufanya mapenzi si unajua hakuna ushaidi wa kumtia hatiani mwanaume. Demu ndie alizingua angesema tu ukweli tangu mwanzo
 
Labda jamaa ni mzoefu akadanganya tu hajawahi kufanya mapenzi si unajua hakuna ushaidi wa kumtia hatiani mwanaume. Demu ndie alizingua angesema tu ukweli tangu mwanzo
Yeah nimewaza hili pia , mkulungwa alifanya kati ya haya

1. Alimlazimisha kutoa siri zake za nyuma
2. Alishakichafua sana sana na anajua tofauti ya used na sealed
 
Inaonekana picha lilianza ,papu kijana anaingiza anakutana na powered gonorrhea ,hajakaa sawa usaha huo kwa kuwa hajui ni nini akauliza mbona nimepizi mara moja lakini leo siku ya tatu tena shahawa zimeanza kutoka bila hiari yangu ,kama zake wakamwambia shituka huo ni usaha,akauliza bikira usaha umetoka wapi ndo najua demu siku moja kabla ya harusi kapigwa Mande
 
Habari Wana JF.

Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.

Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.

Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee walikuwa wanajua muda tuu ila mimi nimeambiwa last week. Iko hivi.

Yule kijana ni mtu ambaye alijitunza maisha Yake yote, Yani ni wale watu wa mimi se*y mpaka ndoa, Yani hakugusa KE yoyote kipindi Cha maisha yake ya usingle.

Sasa kwa taarifa nilizopata ni kuwa kipindi Cha uchumba, Bibie aliulizwa kuwa bikira ipo?

Ndugu yetu akajibu yeye anayo. Kijana inasemekana alisisitiza sana, akapewa majibu hayo.

Sasa baada ya ndoa kifungwa Tena ya kanisani, shemeji akakuta hakuna kitu. Ulibuka mgogoro baina Yao.

Mimi kwa kipindi chote nilikuwa sijui kwamba Kuna hio ishu. Hata wazee wameambiwa na baba mdogo mwezi wa 6 mwaka huu. Maana baada ya mgogoro kuibuka, Baada ya wao kuangaikia sana swala Hilo.

Bibie alimwambia kuwa yeye aliipoteza kipindi yupo secondary na baada ya hapo yeye Kawa kiumbe kipya baada ya kuachana na Tabia hiyo, majibu ambayo kijana aliyakataa.

Sasa ugomvi ulifika mpaka kwa mchungaji , na wazee wa kanisani kwao ila ilishindikana kusolve.

Sasa wakaamua kuita wazazi pande zote mbili ila still ulishindikana. Akaitwa mpk mchungaji aliyefungisha ndoa, ila wapi, Na kwa kipindi hicho Bibie yeye analia, Hana Cha kufanya , sasa nafikili kuwa anaona aibu.
Sijajua muhimu upo wapi kusolve hio ishu.

Mimi nimeambiwa last week na wazee nimeshangaa sana, sasa sijajua Bibie anahali gani mpka sasa maana kusolve imeshindikana.

Soma Pia: Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

Jamaa alitaka mwezie aliyefanana naye. Sasa nimeambiwa wachungaji wakamwambie tuu Bibie kuwa kama ulishaipoteza maana yake ilishaondoka Yani haipo Tena , kurudi kwa BWANA anakusamehe ila ishatoa kurudi hairudi so haukupaswa kumwambia uhongo.

Na kingine bibie anasema yeye alifikili anamtania tu(utani).

Nikipata mrejesho zaidi nitaleta wakuu.
Huyo kijana kama alijitunza na hakujua msichana mpaka ndoa anawezaje kuijua bakra????
Huyo nae muhuni tu. Msichana nae kama angekuwa muhuni angekomaa nae kiwa umeitoa siku ya kwanza mana hyo kesi wa kuthibitisha ni yeye na huyo msichana tu.
 
Back
Top Bottom