grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Kwani bikra=kutulia kwenye ndoa? Kiukweli mimi ni pioneer kwenye ku support binti kuolewa bikra ila anayeoa na yeye awe bikra vile vile si unabaki kupigia watu kelele unataka bikra kumbe umeshapanga basi lako moja refu kweli kweli.Nadhani anamawazo ya kuwa huyu dada hawezi kuwa mwaminifu tena katika ndoa. Binafsi namuunga mkono sasa hivi ndoa ni tatizo wakaka wanaumizwa sana na akina Engonga.
Ishu ni kwamba alijuaje binti si bikra hali ya kuwa hajawahi kuona hata huo uchi una sura gani live nilitaraji hata pa kuuweka tu akapigishwe pindi kwa mwamposa sasa wewe haujawahi ona mashine halafu siku ya kwanza tu ukajua si bikra ??? Haiingii akilini atueleze alijuaje si bikra.