Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Ukoo mzima hamna kazi za kufanya mnazozana na bikra ya mtu kweli!
Jambo muhim ni mahusiano mema.
Basi tu bado kuna jamii zinaamin mwanamke ni bidhaa na mtu daraja la 2!
Bikra zina tafsir 2.
1. Bikra ya utando (membrane) hasa kwa wasichana wadogo.
2. Bikra ya kutoingiliwa na mwanaume.
Ina maana msichana anaweza kuwa hana utando na hajawai kuguswa. Hata baiskeli huzitoa nyavu. Au kubakwa na ndugu.
Katika zote hizo hakuna ya maana kuwa na mke bora!
Hiyo ya pili NAKATAAAAA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Lkn si alishaonja ndipo akajua kuwa bi harusi hana bikra!! Kwahiyo naye hana tena hiyo bikra ya kiume.
Sijajua alijuaje alishaonja au bado, maana sijawauliza mwaswali wazee.

Ila Kila mtu yupo kivyale sasa japo ndoa haijavunjwa.
Ila ndugu yangu yule sijui yupo kwenye hali gani daaaa.
 
Haivunji ndoa hio ila , labda waamue tuu kuvunja
Inawezekana. Kanisa katoliki linabatilisha. Kama kuna jambo zito ulimficha mwenzako na ushahidi ukawepo inabatilishwa. Nimeshuhudia.

Hilo ni jambo zito. Ndoa imefungwa kwa udanganyifu. Kama mwanaume angetambua kwamba bikra haipo asingeoa.
 
Ooooooooooooh!, Mamaaa, cheza cheza cheza chezaaa.

Kasongo yeye mobali nangai,
Kasongo ngana weo zonga libala eeh
 
Labda alivyochomeka ikapita tuu.
Ila mambo ya aibu sana hasa kwa Bibie sijajua anahali gani. Daaaa
Angejitunza miaka yote hiyo wakiwa chuo mbunye ingebana tu .... Tatizo alikuwa anapigwa na masela halafu Kwa jamaa anakaza haijawahi kuchakatwa.... Mbunye iliyochakatwa inaonyesha tu hata kama haujaingiza dushe.....
 
1. Binti alikosea kusema UONGO, kama alijijua si bikra angekataa hyo ndoa kwa sababu nyengine zozote tu na haitakiwi kumwambia mtu siri zako si mume/mke si wazazi haifai kabisa kabisa yaliyopita yamepita ni wewe na Mungu wako bassss.

2. Huyo jamaa hajawahi kusex vipi ajue kwamba binti si BIKRA? Na wakati bikra si lazima iwe na hymen .
Labda alipo ingiza mzigo ulizama wote ghafla kama umemezwa kwenye ndoo
 
Habari Wana JF.

Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.

Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.

Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee walikuwa wanajua muda tuu ila mimi nimeambiwa last week. Iko hivi.

Yule kijana ni mtu ambaye alijitunza maisha Yake yote, Yani ni wale watu wa mimi se*y mpaka ndoa, Yani hakugusa KE yoyote kipindi Cha maisha yake ya usingle.

Sasa kwa taarifa nilizopata ni kuwa kipindi Cha uchumba, Bibie aliulizwa kuwa bikira ipo?

Ndugu yetu akajibu yeye anayo. Kijana inasemekana alisisitiza sana, akapewa majibu hayo.

Sasa baada ya ndoa kifungwa Tena ya kanisani, shemeji akakuta hakuna kitu. Ulibuka mgogoro baina Yao.

Mimi kwa kipindi chote nilikuwa sijui kwamba Kuna hio ishu. Hata wazee wameambiwa na baba mdogo mwezi wa 6 mwaka huu. Maana baada ya mgogoro kuibuka, Baada ya wao kuangaikia sana swala Hilo.

Bibie alimwambia kuwa yeye aliipoteza kipindi yupo secondary na baada ya hapo yeye Kawa kiumbe kipya baada ya kuachana na Tabia hiyo, majibu ambayo kijana aliyakataa.

Sasa ugomvi ulifika mpaka kwa mchungaji , na wazee wa kanisani kwao ila ilishindikana kusolve.

Sasa wakaamua kuita wazazi pande zote mbili ila still ulishindikana. Akaitwa mpk mchungaji aliyefungisha ndoa, ila wapi, Na kwa kipindi hicho Bibie yeye analia, Hana Cha kufanya , sasa nafikili kuwa anaona aibu.
Sijajua muhimu upo wapi kusolve hio ishu.

Mimi nimeambiwa last week na wazee nimeshangaa sana, sasa sijajua Bibie anahali gani mpka sasa maana kusolve imeshindikana.

Soma Pia: Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

Jamaa alitaka mwezie aliyefanana naye. Sasa nimeambiwa wachungaji wakamwambie tuu Bibie kuwa kama ulishaipoteza maana yake ilishaondoka Yani haipo Tena , kurudi kwa BWANA anakusamehe ila ishatoa kurudi hairudi so haukupaswa kumwambia uhongo.

Na kingine bibie anasema yeye alifikili anamtania tu(utani).

Nikipata mrejesho zaidi nitaleta wakuu.
Karibu kilingeni tukusaidie namna nzuri ya kumaliza hilo na ndoa ikaendelea kwa furaha
 
Soma na hii pia

Labda alivyochomeka ikapita tuu.
Ila mambo ya aibu sana hasa kwa Bibie sijajua anahali gani. Daaaa
Kukosa ubikira haimaanishi kuwa alishafanya tendo. Ni wanawake wengi tu bikira zinakatika kwenye harakati za maisha kama michezo nk. Hivyo basi mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana na mwanaume waka-sex na siyo mwenye ule utepe. Nasema hivyo kwa sababu siku hizi hospital wanaweza ''wakashona'' na kuweka ule utepe hata kwa wanawake waliozaa. Kwa hiyo unaweza kukutana na unayedhani umevunja bikra kumbe ali-repair hospitali.
 
Hata kama hana utepe ila kuna vitu vidogo dogo tu utajua huyu ni bikra (kwa wale wazoefu) ila kwa jamaa kujinasibu hajawahi kupiga mzigo halafu akagundua tu chap kwamba binti si bikra hii bado ngumu kumeza jamaa naye anatia shaka.

Ila kosa la binti ni kukubalu na unakuta hata alibanwa akajieleza hao aliotoka nao kabla hili ni kosa kubwa sana aisee haishauriwi kutoa siri za mambo yako uliyowahi fanya huko nyuma .
 
Kuna Mchina Aliibiwa Mafuta Kwenye Mtambo Sasa Uchungu Wa Kuibiwa Mafuta Akasema Wazi Wazi

Ally Baba
Fula Fulaa,Nyinyaa Pipe Dumu !
 
Si akaokoke ili arudi mpya na bikra yake s mnavosemaga wakristo na huyo kijana mbona sio mkristo safi mchungaji keshaungama yy anakataa nn inaonesha mafunzo na uhalisia ni interchengiability
Akiokoka anaiokoa roho yake mwenyewe na sio ili huyo mume amkubali.
Btw kama binti alishatubu hiyo dhambi ya kuliwa huko nyuma kabla ya ndoa Mungu alishamsamehe, kutosamehewa na binadamu aliemuomba msamaha tayari ni nje ya uwezo wake.

Ndio maana nimemshauri amove on.
 
Back
Top Bottom