Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

Na huyu mume alijua vipi ladha ya birika kama hajawahi?
 
Kwahiyo jamaaa anataka mahari yake?? Kuna watu wanatia aibu dunia hiii
Kuna watu walisha Oa mke ana mimba ya mwingine na bado wakasitiriana sembuse hivyo.!

Ila mzinifu ataolewa na mzinifu mwenzake
 
Na wewe mle huyo demu
 
Hivi kumbe kuna wajuba wanaona bikra ni kitu ya maana kiasi cha ugomvi wakiinyimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…