King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Halotel naogopoga sana kuweka bando mara kibao nikicheki kwenye data usage nakupigia hesabu Mb nilizoziona nakuta nimepigwa kama mb 160 na kitu kwenye GB2 vilevile watu kibao wanalalamika linaisha kwa haraka.
Sasa nipo Voda sijutii kuwa huku kabisa coz
mi naona kama halotel ndo hawamalizi bando fasta mana nshawah kuunga bando la tgo asee ndan ya nusu saa bando kwishabando linaisha kihalali