Halotel naogopoga sana kuweka bando mara kibao nikicheki kwenye data usage nakupigia hesabu Mb nilizoziona nakuta nimepigwa kama mb 160 na kitu kwenye GB2 vilevile watu kibao wanalalamika linaisha kwa haraka.
Sasa nipo Voda sijutii kuwa huku kabisa coz
mi naona kama halotel ndo hawamalizi bando fasta mana nshawah kuunga bando la tgo asee ndan ya nusu saa bando kwishabando linaisha kihalali
My friends come home, came to ttcl you won't regrets, Thank and good day!
Ttcl kupata tu vocha n mtihan afu mtandao wenu upo chn sana yan mtu akitoka tu nje ya mji bas hata line haisomi
Weka bei za bando zenu hapa tuthaminisheNiandikapo ujumbe huu natumia ttcl, siibiwi bando, it's a time for ttcl to streach widely!
Huku tunajinunulia vile tupende ya mfano leo nimefungua kwa 1000/-nimepata mb 680,raha yake ni limitless, unatumia bando lako weee mpaka hata kesho kutwa try this side you shalln't tegretsWeka bei za bando zenu hapa tuthaminishe
Kupata line (SIM card) za TTCL,nimetafuta kwenye wauza line,hawana.My friends come home, came to ttcl you won't regrets, Thank and good day!
Binafsi nilinunua makao mkuu yao samora av.Kupata line (SIM card) za TTCL,nimetafuta kwenye wauza line,hawana.
Ttcl ni taasisi ya umma kwa ajili ya mtanzania na huduma, hawana janjajanja za kipuuzi.Mitandao ya kijamii ni wezi wakuu!
Haisee hapana nimpaka mf, kwenye WhatsApp uweke auto download utakiona cha moto!Kwani bando linatumika kutokana na aina ya simu?
Ttcl mtandao unakuja na kukata, mda mwingine unaeza kata hata siku nzima. Sio mtandao wa kuamini kwa wanaotegemea internet fulltime.Ttcl ni taasisi ya umma kwa ajili ya mtanzania na huduma, hawana janjajanja za kipuuzi.