Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.

Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo hivyo. Haya ya kujitoa ligi ni muda tu boss anasema team haina faida yoyote zaidi ya gharama. "

Haya ni maneno ya Khalid......
 
Soon ligi itaporomoka viwango, hakuna sponsors wataowekeza kwenye ligi ambayo ina makandokando,

Timu zinawekeza, viongozi TFF na usimba wao wanawaza kumbeba mwanao, kisa aliwasapoti kwenye uchaguzi!
 
Haina faida vp wakati wanatangaza product zao na kujenga brand ya azam
Wao kama wanahamia Yamleyamle cup waende tu wakapamba na bingwa mtetezi mboriborini fc
 
Soon ligi itaporomoka viwango, hakuna sponsors wataowekeza kwenye ligi ambayo ina makandokando,

Timu zinawekeza, viongozi TFF na usimba wao wanawaza kumbeba mwanao, kisa aliwasapoti kwenye uchaguzi!
Ligi yetu imekuwa kwenye makaratasi ila uwanjani bado ile ile,, waliposhidwa kuvuka Simba na Yanga kabla ya huu mfumo mpya wa Mashindano ya CAF ulioanzishwa 2016, mpaka leo hawajapavuka..
 
Soon ligi itaporomoka viwango, hakuna sponsors wataowekeza kwenye ligi ambayo ina makandokando,

Timu zinawekeza, viongozi TFF na usimba wao wanawaza kumbeba mwanao, kisa aliwasapoti kwenye uchaguzi!

Sasa kama Nyie Mikia hamkutaka kuisupport CCM mnataka nini? Yanga tutachukua Ubingwa as long as Samia ni Rais.
 
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.

Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo hivyo. Haya ya kujitoa ligi ni muda tu boss anasema team haina faida yoyote zaidi ya gharama. "

Haya ni maneno ya Khalid......
Ile ni club ya matangazo sio ya mpira kama wanataka hela wajipange wachukue caf champions league kule kuna hela sana.
 
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.

Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo hivyo. Haya ya kujitoa ligi ni muda tu boss anasema team haina faida yoyote zaidi ya gharama. "

Haya ni maneno ya Khalid......
Hao Azam mbona hata kwenye mashindano ya CAF hawafanyi vizuri. Yes kuna changamoto za kwenye ligi kuwabeba kulwa na doto, lakini Azam pia wana changamoto ndani ya club yao.
 
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.

Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo hivyo. Haya ya kujitoa ligi ni muda tu boss anasema team haina faida yoyote zaidi ya gharama. "

Haya ni maneno ya Khalid......
Kama wanataka fan base kubwa washinde vikombe.
Mfano nani alikuwa anaijua Man City kabla ya uwekezaji wa waarabu na kuanza kushinda mataji. Leo fan base ya city ni kubwa maana wanashinda mataji.
 
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.

Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo hivyo. Haya ya kujitoa ligi ni muda tu boss anasema team haina faida yoyote zaidi ya gharama. "

Haya ni maneno ya Khalid......
Kama vipi aipeleke SA
 
Back
Top Bottom