Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

Sioni tatizo wakijichangusha. Nyie CCM mnachukua pesa za serikali na kuzifanya za kwenu.
ni kwasabb ya ufahamu mna uelewa mdogo juu ya mambo haya,

ni utapeli chadema inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku lakini kwa utapeli na ulaghai bado inawakamua pesa ya maji, chakula, pesa ya kujikimu na kuendesha chama 🐒
 
Wewe na Kipara kipya mnahangaika sana na LISSU.
Fanyeni mambo mengine, familia zinawategemea.
hakuna haya ya kuhangaika wala kubabaika na kibaka wa siasa za Chadema gentleman,

ni vizuri kuwapa uelewa na ufahamu wa kutosha wadau wa JF kuhusu mambo haya muhimu bila choyo,

ikiwa unapata mihemko au makasiriko hiyo ni juu yako binafsi 🐒
 
ni kwasabb ya ufahamu mna uelewa mdogo juu ya mambo haya,

ni utapeli chadema inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku lakini kwa utapeli na ulaghai bado inawakamua pesa ya maji, chakula, pesa ya kujikimu na kuendesha chama 🐒
Hakuna utapeli wowote maana wanaochanga ni wanachama na wanachanga kwa hiari yao. Wewe unaumia as if umeambiwa uchangie. Are you okay upstairs?
 
Nchimbi Juzi ,kachangisha billion 1 (kama sio uwongo)
Kwajili yaujenzi wa ofisi ya ccm mkoa wa singida ....unashangaa nn CHADEMA kufanya hivyo

una boa
kibaka wa siasa za Chadema ameomba pesa za kujenga nini kama sio pocket money gentleman 🐒
 
Hakuna utapeli wowote maana wanaochanga ni wanachama na wanachanga kwa hiari yao. Wewe unaumia as if umeambiwa uchangie. Are you okay upstairs?
nawaonea huruma sana mnapotapeliwa wazi wazi,
mbaya zaid mna akili timamu kabisaa,

ila kibaka ni laghai wa kimataifa aise dah, ila safari hii atapata pesa kidunchu sana,

na anavyopenda konyagi na nyama, hatatanua sana this time round 🐒
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Uliokuwapo ulikuwa na mkakati gani?
 
ul

Uliokuwapo ulikuwa na mkakati gani?
relax na kujikita kwenye hoja gentleman bila mihemko au makasiriko, otherwise utatapeliwa sana pesa na kibaka wa chadema 🐒
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Sasa si afadhari kabisa CHADEMA wanao omba wachangiwe kwa hiyari kuliko CCM Inayo chota kodi zao hazina kwa kauli ya mwenye kiti kimya kimya huku wananchi wakiwa hawana madawa !?
 
acha upotoshaji gentleman,

huenda uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya ndio Tatizo,

chadema inapata ruzuku ambayo ni michango ya wananchi, kwa tamaa ya pesa za kunywea pombe na nyama bado mnawakamua wananchi walewale waliochangia kupitia ruzuku,

utashenyentwa maokoto na kibaka wa chadema hadi akili ikukae sawa 🐒
 
..CCM imeanzishwa miaka 60++ na bado inapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi toka kwa msajili wa vyama.

..kwanini chama kikongwe kupita vyote ndio kilelewe kwa upendeleo kwa kupewa ruzuku kubwa kuliko vyama vichanga?

..kwanini CCM haijitegemei?
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Hapana hii inatokana na Mbowe kuendesha chama kama saccos yake ni lazima waombe Kwa wananchi pia ndo mwanzo wa kufikiri nje ya box na kuwekeza kwenye vitega uchumi
 
utashenyentwa sana gentleman,

yaani chama inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku, lakini tapeli anaona bado haitoshi anataka tena awakamue kitapeli eti mumchangie pesa ya maji, chakula, ya kujikimu na pesa ya kuendesha chama,

nanyi kama mazuzu mpompo tu mnachangia huku mkiendelea kushenyentwa na maisha magumu 🐒
Kumbe pesa wanapata mbona unalalamika kuwa hawana pesa?
 
Hapana hii inatokana na Mbowe kuendesha chama kama saccos yake ni lazima waombe Kwa wananchi pia ndo mwanzo wa kufikiri nje ya box na kuwekeza kwenye vitega uchumi
wananchi wanachangia kupitia ruzuku wanayoivuta chadema,

huoni kama ni utapeli na ulaghai kuwachangisha tena gentleman 🐒
 
Kumbe pesa wanapata mbona unalalamika kuwa hawana pesa?
ni utapeli kupata pesa kwa mgongo wa wananchi halafu unakaa kimya, kujifanya hupati ili kuwakamua zaidi wananchi kwa script ya kutia huruma kana kwamba ni mtu mwenye shida sana ili uwajaze watu huruma wakuchangie,

huo ni utapeli wa kiwango cha juu sana katika siasa 🐒
 
..CCM imeanzishwa miaka 60++ na bado inapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi toka kwa msajili wa vyama.

..kwanini chama kikongwe kupita vyote ndio kilelewe kwa upendeleo kwa kupewa ruzuku kubwa kuliko vyama vichanga?

..kwanini CCM haijitegemei?
nadhani shida ni uelewa na Ufahamu wako kidogo kuhusu mambo haya,
pole nitaeleza kwa kirefu kuhusu ruzuku licha ya kwamba mambo haya yapo wazi kwenye platform nyingi,

chadema kuvuta ruzuku ambayo ni michango ya wananchi kupitia kodi na kukaa kimya ni utapeli na mbinu ya kuwachangisha tena wananchi kwa ulaghai kwa mara ya pili,

kibaka anakutapeli akiwa na lugha na sura ya huruma sana, kaa chonjo gentleman 🐒
 
wananchi wanachangia kupitia ruzuku wanayoivuta chadema,

huoni kama ni utapeli na ulaghai kuwachangisha tena gentleman 🐒
Kwanza waochangia sio wananchi wote ila ni wanachadema Sasa kama wanachadema wameamua kuchangia chama Chao baada yakuona ruzuku haitoshi shida Ipo wapi?
 
shida ni pale tapeli anapochangisha pesa za kujikimu hasemi anataka shilingi ngapi na amepata kiasi gani mathalani kwenye michango ya ile gari, je ipo au imeishia kwenye konyagi na nyama? Na kibaka alivyohodari kwenye spirit,

hata hivyo,
mbona hasemi hiyo ruzuku ni ngapi na haitoshi kivip? ila anakuja kimya kimya na script yenye hisia kali za huruma ili kwanza awatie huruma wananchi kisha atupie ombi la kuchangiwa pesa dah!

ama kweli utapeli na kuomba omba kuchangiwa ni kipaji 🐒
 
Back
Top Bottom