Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono...
Kwani serikali ya ccm inaweza kujiendesha kwa hata siku moja tu bila pesa kutoka kwa wananchi (wakiwemo wanyonge sana) kupitia kodi, tozo, nk?!
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Hiyo mimba ya chadema lazima mwaka huu uzae.
We endelea na uchawa wako huko ccm
 
gentleman,
nadhan uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya sio wa kutosha,

utalipa kodi,
kisha chadema watapewa ruzuku, kwasabb ya uelewa wako mdogo chadema watakutafuta na kukushenyente maokoto mengine tena mpaka pale akili itakapokukaa sawa na wakati huo itakua too late 🐒
 
relax gentleman,
tapeli atakushenyenta maokoto vizuri sana hadi akili ikukae sawa, na wakati huo itakua too late 🐒
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Mmeanza si ndio?
Uongozi Mpya hauna hata nusu Mwaka mmeanza lawama! What about sisiem wapo 60+yrs wananchi bado maskini?
Jitengeni na uovu!
 
gentleman,
nadhan uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya sio wa kutosha,

utalipa kodi,
kisha chadema watapewa ruzuku, kwasabb ya uelewa wako mdogo chadema watakutafuta na kukushenyente maokoto mengine tena mpaka pale akili itakapokukaa sawa na wakati huo itakua too late 🐒
Dogo,
Ccm wanafanya hivyo hivyo.
Acha kukariri, fungua akili
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.
Kumbuka wanafunzi fukara kabisa wa vyuo walimchangia Samia achukue form. Huu ni unyama mkubwa!
 
script za kitapeli za kibaka wa chadema zitawafanya mtapeliwe kizembe sana gentleman dah 🐒
 
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,

Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.

Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.🐒

Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?

Mungu ibariki Tanzania.

Kipato cha CCM ni ruzuku ambayo ni pesa ya serikali kwa chaguzi ambazo kila mwangalizi anasema ni fake!. Sio kitu cha kujisifia!!!

Chama cha wananchi kitaendeshwa na wananchi
 
Watabadilisha mada na kuanza kuilaumu CCM.
 
Kipato cha CCM ni ruzuku ambayo ni pesa ya serikali kwa chaguzi ambazo kila mwangalizi anasema ni fake!. Sio kitu cha kujisifia!!!

Chama cha wananchi kitaendeshwa na wananchi
sasa ruzuku ni nini kama sio michango ya wananchi gentleman?

uelewa na Ufahamu mdogo juu ya mambo haya utafanya kutapeliwa sana na vibaka wa siasa za Chadema.

CCM ina mpaka vyombo vya habari ukiachilia mbali mahoteli, kumbi za mikutano na sherehe, viwanja vya mpira n.k,

mbona unataka kupotosha wadau gentleman, au nawe ni kibaka wa kisiasa humu jukwaani?🐒
 
Ruzuku sio mchango zinatokana na kodi za wananchi. Yaani kwenye kodi ni kila biashara na mtu anatozwa. Michango ni hiari ya mtu kutoa. Pesa ya kadi za vyama ndiyo mifano ya michango. Dada yetu kumbe uelewa wako bado upo chini hivi tutakupa muda wa kuelimika.
 
Elimu YETU ichunguzwe kama mtoa mada ni graduate,,, Kwa hiyo hizo Kodi na Tozo wanazotumia serikali na CHAMA tawala zinatoka Kwa watanzabnia Matajiri??? Siasa za Tanzania zimejaa watu wapumbavu
 
relax na ujikite kwenye hoja mahusisi bila mihemko wala makasiriko 🐒
 
Ruzuku sio mchango zinatokana na kodi za wananchi. Yaani kwenye kodi ni kila biashara na mtu anatozwa. Michango ni hiari ya mtu kutoa. Pesa ya kadi za vyama ndiyo mifano ya michango. Dada yetu kumbe uelewa wako bado upo chini hivi tutakupa muda wa kuelimika.
relax gentleman,
uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala haya,

yatakufanya utapeliwe sana na huyo kibaka wa chadema. Pole sana unt🐒
 
utashenyentwa sana gentleman,

yaani chama inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku, lakini tapeli anaona bado haitoshi anataka tena awakamue kitapeli eti mumchangie pesa ya maji, chakula, ya kujikimu na pesa ya kuendesha chama,

nanyi kama mazuzu mpompo tu mnachangia huku mkiendelea kushenyentwa na maisha magumu 🐒
Chama inachukua??
 
elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau 🐒
Siasa ni akili, siasa ni rasilimali, siasa ni ujanja, siasa ni usasa, . Siasa haihitaji sifa za kijinga Wala kukomalisha 'ngwimbi' kwa hoja murua za 1960s, siasa ni umafia na ukauzu wenye tija mbele (si sifa kujifanya kuweka wazi Kila kitu, Kuna vingine watawaliwa hawapaswi kujua hata iweje.....huo ndo uongozi, hata mutumie Kuna mambo walikuwa wanamalizana wenyewe wa juu tu Ili mambo yaende). Sasa Ukija mbiombio kwa sifa za kijinga kwamba wewe 'muaminifu' mpaka Mungu mwenyewe anashangaa, kwamba Kila inajopatikana sumni basi watoto wote lazima wajue imetoka wapi (wababa wakati mwingine tunakumbana na makofi huko ktk kutafuta ugali; watoto hawapaswi kujua Bali kushangilia tu upatikamaji wa mlo na kutekeleza lile linalopaswa kutekeleza), lazima bungo uteme muda si mrefu.
 
Nani kakwambia wananchi wanataka CDM ya matajiri? Ni hivi CDM ni sehemu ya wananchi hawa maskini ambao wameapa kuichangia ije mvuaama lije jua la utosi, sasa wewe chawa wa CCM unaumia nini??
 
Back
Top Bottom