ni kwasabb ya ufahamu mna uelewa mdogo juu ya mambo haya,Sioni tatizo wakijichangusha. Nyie CCM mnachukua pesa za serikali na kuzifanya za kwenu.
hakuna haya ya kuhangaika wala kubabaika na kibaka wa siasa za Chadema gentleman,Wewe na Kipara kipya mnahangaika sana na LISSU.
Fanyeni mambo mengine, familia zinawategemea.
Hakuna utapeli wowote maana wanaochanga ni wanachama na wanachanga kwa hiari yao. Wewe unaumia as if umeambiwa uchangie. Are you okay upstairs?ni kwasabb ya ufahamu mna uelewa mdogo juu ya mambo haya,
ni utapeli chadema inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku lakini kwa utapeli na ulaghai bado inawakamua pesa ya maji, chakula, pesa ya kujikimu na kuendesha chama π
kibaka wa siasa za Chadema ameomba pesa za kujenga nini kama sio pocket money gentleman πNchimbi Juzi ,kachangisha billion 1 (kama sio uwongo)
Kwajili yaujenzi wa ofisi ya ccm mkoa wa singida ....unashangaa nn CHADEMA kufanya hivyo
una boa
nawaonea huruma sana mnapotapeliwa wazi wazi,Hakuna utapeli wowote maana wanaochanga ni wanachama na wanachanga kwa hiari yao. Wewe unaumia as if umeambiwa uchangie. Are you okay upstairs?
Uliokuwapo ulikuwa na mkakati gani?Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
Sasa si afadhari kabisa CHADEMA wanao omba wachangiwe kwa hiyari kuliko CCM Inayo chota kodi zao hazina kwa kauli ya mwenye kiti kimya kimya huku wananchi wakiwa hawana madawa !?Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
acha upotoshaji gentleman,Sasa si afadhari kabisa CHADEMA wanao omba wachangiwe kwa hiyari kuliko CCM Inayo chota kodi zao hazina kwa kauli ya mwenye kiti kimya kimya huku wananchi wakiwa hawana madawa !?
Hapana hii inatokana na Mbowe kuendesha chama kama saccos yake ni lazima waombe Kwa wananchi pia ndo mwanzo wa kufikiri nje ya box na kuwekeza kwenye vitega uchumiNi muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
Kumbe pesa wanapata mbona unalalamika kuwa hawana pesa?utashenyentwa sana gentleman,
yaani chama inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku, lakini tapeli anaona bado haitoshi anataka tena awakamue kitapeli eti mumchangie pesa ya maji, chakula, ya kujikimu na pesa ya kuendesha chama,
nanyi kama mazuzu mpompo tu mnachangia huku mkiendelea kushenyentwa na maisha magumu π
wananchi wanachangia kupitia ruzuku wanayoivuta chadema,Hapana hii inatokana na Mbowe kuendesha chama kama saccos yake ni lazima waombe Kwa wananchi pia ndo mwanzo wa kufikiri nje ya box na kuwekeza kwenye vitega uchumi
ni utapeli kupata pesa kwa mgongo wa wananchi halafu unakaa kimya, kujifanya hupati ili kuwakamua zaidi wananchi kwa script ya kutia huruma kana kwamba ni mtu mwenye shida sana ili uwajaze watu huruma wakuchangie,Kumbe pesa wanapata mbona unalalamika kuwa hawana pesa?
nadhani shida ni uelewa na Ufahamu wako kidogo kuhusu mambo haya,..CCM imeanzishwa miaka 60++ na bado inapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi toka kwa msajili wa vyama.
..kwanini chama kikongwe kupita vyote ndio kilelewe kwa upendeleo kwa kupewa ruzuku kubwa kuliko vyama vichanga?
..kwanini CCM haijitegemei?
Kwanza waochangia sio wananchi wote ila ni wanachadema Sasa kama wanachadema wameamua kuchangia chama Chao baada yakuona ruzuku haitoshi shida Ipo wapi?wananchi wanachangia kupitia ruzuku wanayoivuta chadema,
huoni kama ni utapeli na ulaghai kuwachangisha tena gentleman π
shida ni pale tapeli anapochangisha pesa za kujikimu hasemi anataka shilingi ngapi na amepata kiasi gani mathalani kwenye michango ya ile gari, je ipo au imeishia kwenye konyagi na nyama? Na kibaka alivyohodari kwenye spirit,Kwanza waochangia sio wananchi wote ila ni wanachadema Sasa kama wanachadema wameamua kuchangia chama Chao baada yakuona ruzuku haitoshi shida Ipo wapi?