antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani serikali ya ccm inaweza kujiendesha kwa hata siku moja tu bila pesa kutoka kwa wananchi (wakiwemo wanyonge sana) kupitia kodi, tozo, nk?!Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono...
Hiyo mimba ya chadema lazima mwaka huu uzae.Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
gentleman,Kwani serikali ya ccm inaweza kujiendesha kwa hata siku moja tu bila pesa kutoka kwa wananchi (wakiwemo wanyonge sana) kupitia kodi, tozo, nk?!
Mmeanza si ndio?Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
Dogo,gentleman,
nadhan uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya sio wa kutosha,
utalipa kodi,
kisha chadema watapewa ruzuku, kwasabb ya uelewa wako mdogo chadema watakutafuta na kukushenyente maokoto mengine tena mpaka pale akili itakapokukaa sawa na wakati huo itakua too late π
Kumbuka wanafunzi fukara kabisa wa vyuo walimchangia Samia achukue form. Huu ni unyama mkubwa!Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
Watabadilisha mada na kuanza kuilaumu CCM.Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama vya siasa nchini inapitia katika aibu, fedheha na setback ya kudumaa badala ya kustawi na kujitegemea katika kujiendesha.
Kuwasumbua na kuwabebesha wananchi maskini mzigo kwa kuwachangisha pesa za kula, kunywa na kuendeshea vyama vya siasa, kama alivyoomba mwenyekiti mpya wa Chadema kuchangiwa pesa za matumizi ya chadema, ni ishara wazi kua uongozi mpya hauna maono wala mipango mikakati mahususi ya kujiendesha na kujitegemea bali kuwafanya wananchi maskini waTanzania kua maskini zaidi huku wakiwahadaa kuwasaidia kwa mipango na ahadi hewa zisizotekelezeka.π
Je,
huo ni ulaghai au utapeli wa aina mpya uliobuniwa na viongozi matapeli wa kisiasa hususani ndani ya chadema ?
Mungu ibariki Tanzania.
sasa ruzuku ni nini kama sio michango ya wananchi gentleman?Kipato cha CCM ni ruzuku ambayo ni pesa ya serikali kwa chaguzi ambazo kila mwangalizi anasema ni fake!. Sio kitu cha kujisifia!!!
Chama cha wananchi kitaendeshwa na wananchi
Ruzuku sio mchango zinatokana na kodi za wananchi. Yaani kwenye kodi ni kila biashara na mtu anatozwa. Michango ni hiari ya mtu kutoa. Pesa ya kadi za vyama ndiyo mifano ya michango. Dada yetu kumbe uelewa wako bado upo chini hivi tutakupa muda wa kuelimika.sasa ruzuku ni nini kama sio michango ya wananchi gentleman?
uelewa na Ufahamu mdogo juu ya mambo haya utafanya kutapeliwa sana na vibaka wa siasa za Chadema.
CCM ina mpaka vyombo vya habari ukiachilia mbali mahoteli, kumbi za mikutano na sherehe, viwanja vya mpira n.k,
mbona unataka kupotosha wadau gentleman, au nawe ni kibaka wa kisiasa humu jukwaani?π
relax na ujikite kwenye hoja mahusisi bila mihemko wala makasiriko πElimu YETU ichunguzwe kama mtoa mada ni graduate,,, Kwa hiyo hizo Kodi na Tozo wanazotumia serikali na CHAMA tawala zinatoka Kwa watanzabnia Matajiri??? Siasa za Tanzania zimejaa watu wapumbavu
relax gentleman,Ruzuku sio mchango zinatokana na kodi za wananchi. Yaani kwenye kodi ni kila biashara na mtu anatozwa. Michango ni hiari ya mtu kutoa. Pesa ya kadi za vyama ndiyo mifano ya michango. Dada yetu kumbe uelewa wako bado upo chini hivi tutakupa muda wa kuelimika.
Chama inachukua??utashenyentwa sana gentleman,
yaani chama inachukua michango ya wananchi kupitia ruzuku, lakini tapeli anaona bado haitoshi anataka tena awakamue kitapeli eti mumchangie pesa ya maji, chakula, ya kujikimu na pesa ya kuendesha chama,
nanyi kama mazuzu mpompo tu mnachangia huku mkiendelea kushenyentwa na maisha magumu π
Siasa ni akili, siasa ni rasilimali, siasa ni ujanja, siasa ni usasa, . Siasa haihitaji sifa za kijinga Wala kukomalisha 'ngwimbi' kwa hoja murua za 1960s, siasa ni umafia na ukauzu wenye tija mbele (si sifa kujifanya kuweka wazi Kila kitu, Kuna vingine watawaliwa hawapaswi kujua hata iweje.....huo ndo uongozi, hata mutumie Kuna mambo walikuwa wanamalizana wenyewe wa juu tu Ili mambo yaende). Sasa Ukija mbiombio kwa sifa za kijinga kwamba wewe 'muaminifu' mpaka Mungu mwenyewe anashangaa, kwamba Kila inajopatikana sumni basi watoto wote lazima wajue imetoka wapi (wababa wakati mwingine tunakumbana na makofi huko ktk kutafuta ugali; watoto hawapaswi kujua Bali kushangilia tu upatikamaji wa mlo na kutekeleza lile linalopaswa kutekeleza), lazima bungo uteme muda si mrefu.elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau π