#COVID19 Uongozi ni kuonesha njia: Uhuru Kenyata apata chanjo ya Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona


Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
 
Bado ana ka safari karefu ndo maana ana kelele nyingi. Aishi miaka tele aushuhudie urais twitter
It's so Sad kwakweli.. ni wa kuombewa Mungu amvushe.
Hapaswi kulaumwi kwa improperly behavioral anazozionyeshwa. There's something triggering it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…