#COVID19 Uongozi ni kuonesha njia: Uhuru Kenyata apata chanjo ya Corona

#COVID19 Uongozi ni kuonesha njia: Uhuru Kenyata apata chanjo ya Corona

Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona

View attachment 1735138
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Ni Astra-Zeneca? Hizi chanjo kinachonishangaza nikwamba hazikupi uhuru kuwa hutaweza kupata maambukizi.....anyway kwahizi chanjo kila mtu atumie akili yake tu
 
Hii ni moja ya njia kuonyesha msaada ya korana inavyotumika kumbe geresha tu
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona

View attachment 1735138
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
 
Wa Belgium na wa Canada na,familia yake zipo chanjo kwa Wingi kule,je wamechanjwa tayari?
 
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona.

View attachment 1735138
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya

Unauhakika kama kile kilichokuwa kwenye sindano ni kinga ya uviko-19.
 
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona.

View attachment 1735138
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Kupiga chanjo na hatimae kumaliza Tatizo la Corona nchini Mwao.

Mkuu edit hiyo maneno, inaonesha you are so ignorant.
 
Teh teh teh,
Kwanza kwa u-ignorant wako hata unavyochapa habari hapa sijui huwa nani anakusaidiaga. Maana unaweza kuchapa, lkn maudhui ya kile unachochapa ni shidaaa.
CC: game over

hamna kitu hapo.

huyu ndio mmoja kati ya wale mitaji ya chadema.
 
Back
Top Bottom