Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

Hapo umekosea kama siyo hujui. Hapa Tanzania tulikuwa makazi wa viongozi wengi tu wa wapigania uhuru, jana tu yakitajwa maeneo aliyokaa Rais wa sasa wa Burudi. Wakati Hayati Mandela anafungwa na Serikali y makaburu kulikuwa na wengine walikuwa wakiishi nchi mbalimbali duniani wakiendeleza mapambano kutokea huko. Kabla hajasema swala lolote humu jitahidi kuyajua kabla.
Uongo Mandela alirudi kwao kuendeleza mapambano akadakwa Hadi kufungwa museveni alikuwa uhamushoni Tanzania lakini alirudi Uga da kuongoza Mapambano akina Kagame vivyo hivyo akina Raisi wa Burundi vivyo hivyo walirudi kuongoza Mapambano nchini mwao akina Kabila wa Kongo hivyo hivyo hawakukaa tu wakisubiri wengine waweke mazingira mazuri wait wakiwa kwenye AC ulaya na Canada wakila Pizza wakingoja tu waje Kama watalii kuja kugombea vyeo Kama Lisu alivyokuja kugombea uraisi na umakamu mwenyekiti Chadema

Waongoza Mapambano wote akina walirudi nchini kwao joto likiwa juu na Mapambano Moto hawakuachia wengine wafanye hiyo kazi kwa niaba yao wao wakisubiri wingu jeupe ndio warudi kwa mbwembwe Kama Lisu kupokelewa Airport na kugombea!!!
 
Mbowe usimulinganishe na kitu cha ajabu Mkuu we unamsemea Magufuli ambae ulimtambua baada ya kua Rais kwa kutumia Mabavu kupitia nafasi yake ya Uraisi alikua anafanya chochote lakini Mbowe anapambana akiwa chini hana Nguvu yeyote kwenye hii Nchi tena anapambana na wenye Madaraka.

#Narudia usimfananishe MBOWE na Vitu Vingine vya ajabu
Kwa sababu umezaliwa juzikati ni haki yako kusema Mbowe hana nguvu yoyote!
 
Uongo Mandela alirudi kwao kuendeleza mapambano akadakwa Hadi kufungwa museveni alikuwa uhamushoni Tanzania lakini alirudi Uga da kuongoza Mapambano akina Kagame vivyo hivyo akina Raisi wa Burundi vivyo hivyo walirudi kuongoza Mapambano nchini mwao akina Kabila wa Kongo hivyo hivyo hawakukaa tu wakisubiri wengine waweke mazingira mazuri wait wakiwa kwenye AC ulaya na Canada wakila Pizza wakingoja tu waje Kama watalii kuja kugombea vyeo Kama Lisu alivyokuja kugombea uraisi na umakamu mwenyekiti Chadema

Waongoza Mapambano wote akina walirudi nchini kwao joto likiwa juu na Mapambano Moto hawakuachia wengine wafanye hiyo kazi kwa niaba yao wao wakisubiri wingu jeupe ndio warudi kwa mbwembwe Kama Lisu kupokelewa Airport na kugombea!!!
Nilijua tu hujui, Museveni alirudi wakati gani? Kabila alirudi wakati gani? Kageme alirudi wakati gani.
Mandela unayemsema alirudi ndiyo,lakini alikuwa uhamishoni. Kwa nini alikuwa uhamishoni? Je umeambiwa hao inawatuhumu hawatarudi? Wote walirudi kwa wakati ufaao, hata hao unaowatuhumu watarejea kwa wakati ufaao
 
Mbowe usimulinganishe na kitu cha ajabu Mkuu we unamsemea Magufuli ambae ulimtambua baada ya kua Rais kwa kutumia Mabavu kupitia nafasi yake ya Uraisi alikua anafanya chochote lakini Mbowe anapambana akiwa chini hana Nguvu yeyote kwenye hii Nchi tena anapambana na wenye Madaraka.

#Narudia usimfananishe MBOWE na Vitu Vingine vya ajabu

Mwanasiasa ni mwanasiasa
Magufuli = Mbowe = Mwanasiasa
 
Hapo umekosea kama siyo hujui. Hapa Tanzania tulikuwa makazi wa viongozi wengi tu wa wapigania uhuru, jana tu yakitajwa maeneo aliyokaa Rais wa sasa wa Burudi. Wakati Hayati Mandela anafungwa na Serikali y makaburu kulikuwa na wengine walikuwa wakiishi nchi mbalimbali duniani wakiendeleza mapambano kutokea huko. Kabla hajasema swala lolote humu jitahidi kuyajua kabla.
Kwahiyo Tundu Lisu na Lema wanapigania uhuru?

Kama hujui Oscer Kambona na Abdulhaman Babu walikimbilia Ulaya na waliishia kuomba kurudi nyumbani.

Bavicha ndio mnaiuwa Chadema!
 
Nilijua tu hujui, Museveni alirudi wakati gani? Kabila alirudi wakati gani? Kageme alirudi wakati gani.
Mandela unayemsema alirudi ndiyo,lakini alikuwa uhamishoni. Kwa nini alikuwa uhamishoni? Je umeambiwa hao inawatuhumu hawatarudi? Wote walirudi kwa wakati ufaao, hata hao unaowatuhumu watarejea kwa wakati ufaao
Wote walirudi ndani ya nchi kuongoza vita.wote Museveni aliongoza Vita ndani ya Uganda Alipewa dola elfu 50 na Kawawa akaanze Vita Uganda , Kagame pia aliongoza Vita Rwanda ndani na Kabila YouTube ziko kibao wakiwa vitani ndani ya nchi zao sio nje.Mandela Hadi alidakwa na kufungwa jela ndani ya Afrika ya kusini.
 
Uongo Mandela alirudi kwao kuendeleza mapambano akadakwa Hadi kufungwa museveni alikuwa uhamushoni Tanzania lakini alirudi Uga da kuongoza Mapambano akina Kagame vivyo hivyo akina Raisi wa Burundi vivyo hivyo walirudi kuongoza Mapambano nchini mwao akina Kabila wa Kongo hivyo hivyo hawakukaa tu wakisubiri wengine waweke mazingira mazuri wait wakiwa kwenye AC ulaya na Canada wakila Pizza wakingoja tu waje Kama watalii kuja kugombea vyeo Kama Lisu alivyokuja kugombea uraisi na umakamu mwenyekiti Chadema

Waongoza Mapambano wote akina walirudi nchini kwao joto likiwa juu na Mapambano Moto hawakuachia wengine wafanye hiyo kazi kwa niaba yao wao wakisubiri wingu jeupe ndio warudi kwa mbwembwe Kama Lisu kupokelewa Airport na kugombea!!!
Mkuu hako kabavicha hakajui lolote, kasamehe bure!
 
Back
Top Bottom