Uongozi Simba ni sikio la kufa halisikii dawa: Mazoezi bado ya wazi

Uongozi Simba ni sikio la kufa halisikii dawa: Mazoezi bado ya wazi

Faah umenikumbusha ni ile mechi ambayo simba ilikalia liboro..........fc
 
We jamaa una majungu sana!
pamoja na kuweka picha ya mtu anarekodi mazoezi ya jana pamoja na kukumbushia maelezo ya Barbara akisema milion 150 zilizochangwa na mashabiki kwenye nani zaidi zitajenga ukuta haraka sana sababu John boko alipeleka malalamiko kwa niaba ya wachezaji kwamba hakuna faragha ya mazoezi bado naambiwa nina majungu

Pumbavu wahedi wewe
 
Faah umenikumbusha ni ile mechi ambayo simba ilikalia liboro..........fc
Yes Recreativo de libolo...Ezekiel kamwaga anakuambia hawakuwa na faragha ya mzoezi, alberto wa Libolo anawachora tu mazoezini, leo team ina uwanja wake lakini inashindwa ku control issue ndogo hivi
 
Ila wakuu mbona hata pale avic town mashabiki wanakuwepo kushuhudia mazoezi ya wazi

Timu yenu MBOVU na muukubali ukweli
 
Mkuuu tulia tulia mazoezi ya kimbinu wanafanya usiku
 
si ndicho nilichouliza? si wana ubia na 4ks security? tunavyolalamika hivi ni kwamba wengine tunakerwa na mambo kama haya
Uongozi wenyewe ulisema Boko alienda kulalamika kukosekana kwa faragha kwenye mazoezi wakasema ujenzi wa ukuta utaanza fasta, kimya hadi leo kwa nini tusiamini milions 150 zimeliwa
Iyo pesa Mo kaila
 
Babra anaamini kwenye soka la kisasa hvyo hawezi kubali huo ushauri wako kama anaambiwa team isipite getini anakataa halafu uto wanazunguka geti lingine wanakupasua we utamshauri nini kiufupi babra haamini katika upande wa pili wa shilingi.
 
Ila wakuu mbona hata pale avic town mashabiki wanakuwepo kushuhudia mazoezi ya wazi

Timu yenu MBOVU na muukubali ukweli
uongozi umesababisha hadi wewe unatoa maneno kama haya? team mbovu au uongozi mbovu
Babra anaamini kwenye soka la kisasa hvyo hawezi kubali huo ushauri wako kama anaambiwa team isipite getini anakataa halafu uto wanazunguka geti lingine wanakupasua we utamshauri nini kiufupi babra haamini katika upande wa pili wa shilingi.
na hapo ndipo ninaposema kuna wazee wa hizo mbanga ni kama wamesusa, usasa uwepo lakini jadi ni lazima
 
uongozi umesababisha hadi wewe unatoa maneno kama haya? team mbovu au uongozi mbovu

na hapo ndipo ninaposema kuna wazee wa hizo mbanga ni kama wamesusa, usasa uwepo lakini jadi ni lazima
jasiri haachi asili.......🤔🤔🤔
 
Mtani wangu GENTA kapotelea wapi??au kajitoa makolokoloni???maana yupo kimyaa sanaaa tangu ijumaa kapoteaa!!hahahah GENTA njoo bana tuendeleze utani wa jadi!!
Genta amajificha anafuatilia mechi zinazochezwa kimya kimya Ili angalao aweze pandisha Uzi hapa wa ushauri Kwa makolo fc,kwani Alisha nusa ubingwa kuyeyuka Asubuhi kabisa ya bariki kabla ya jua kuchomoza🤔
 
Back
Top Bottom