N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 17, 2022 #41 Mawembasa1979 said: GENTA akipandisha uzi hapa Mashabiki wenzake wa Simba wajiandae atamwaga shombo la tuhuma ile mbaya. Ila si kawaida yake kuwa kimya namna hii!!! Click to expand... Na hizi ajali za mfululizo tuombe Mungu awe hakuhusika kwenye ajali hata 1
Mawembasa1979 said: GENTA akipandisha uzi hapa Mashabiki wenzake wa Simba wajiandae atamwaga shombo la tuhuma ile mbaya. Ila si kawaida yake kuwa kimya namna hii!!! Click to expand... Na hizi ajali za mfululizo tuombe Mungu awe hakuhusika kwenye ajali hata 1
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Aug 17, 2022 #42 Vessel said: Yuko viwanjani anafukuzia ukocha Kwa makolo fc 😆 Click to expand... Utakuwa sahihi mkuu maana yule amebobea kwenye uchambuzi🤣🤣🤣
Vessel said: Yuko viwanjani anafukuzia ukocha Kwa makolo fc 😆 Click to expand... Utakuwa sahihi mkuu maana yule amebobea kwenye uchambuzi🤣🤣🤣