Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kwahiyo wakereketwa wote waende hadi Udom wakasome!
Prof.K Bee Mbingu ataisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti fix fix kna mkaka wa chuo yaan huyo utasema ni vipi sijui, fix fix ndo yake au anasemaga fununu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Professor mwenyewe anaitwa Bee halafu tunatarajia awe serious

Unategemea nini kutoka kwa profesa wa Chuo cha ushirika Moshi!!! Huyu nae uprofesa wake ni wa mchongo ndio maana anatetea hao mazuzu.
 
Unategemea nini kutoka kwa profesa wa Chuo cha ushirika Moshi!!! Huyu nae uprofesa wake ni wa mchongo ndio maana anatetea hao mazuzu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Udom ni chuo cha kisiasa.

Hata wakiwapa PhD wabunge wote ni sawa tu.

Mi naiheshimu PhD ya Mwigullu Nchemba kutoka Makerere tu hao wengine tupa kule!
Vyuo vikuu vyote vya umma haviwezi kujitenga na siasa, isipokuwa tunataka accreditation kwa taaluma wanazozalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…