ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Amani iwe nanyi
Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya kazi yake badala yake amekuwa ni mtu wa kelele na hata katika majadiliano amekuwa ni mtu wa kupiga kelele kutetea Yanga bila ya facts na anasahau kuwa yupo live kwenye kipindi.
Muonyeni abadilike kutokana na hiyo tabia yake, tunafahamu kuwa ana mapenzi na ukaribu sana na viongozi wa klabu ya Yanga na huenda anapokea bahasha yake pale ili tu aipiganie Yanga kwenye kipindi cha michezo cha radio, EFM.
Twalibu Omar nikueleze wazi kuwa unakera.
Cc: Majizo