Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.

4061cfe398ff3d6dcabaa96f77cbdbf9_0.jpeg
 
Wachezaji hawako serious, ni kama hawajui wanataka nini. Timu bado sana.

Wanahitajika wachezaji wenye viwango na ubora wa hali ya juu, vinginevyo wataendelea kudundwa tu yanga
 
mashabiki wa simba hamna akili. Yani kwa ulee mpira bado mnalalamikia uonevu. Uongozi wenu umawadanganya sana bil 7 za usajili mmedanganywa. Mara camara kala rushwa mara refa. Mechi zinazo kuja kuna droo zitakuwa nyingi kwa simba kama wasipo badilika. Wachezaji wabinafsi.
Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?

Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Tangazo hilo pia lina wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Viongozi wa Simba wanapenda mashabiki kama nyie msiokuwa na akili ya mpira. Na ndio maana kila derby wanazusha fulani kauza mechi ili wawe salama muangaike na wachezaji. Na kwa akili zenu hizi timu haitojengeka kamwe. Yanga wamenyinwa penati, Hamza kadi nyekundu, Ateba alitaka kufunga goli la offside ila shukrani ni kwa Diarra.
 
Kweli mtaendelea kufungwa hadi siku mkubali ukweli kua team ya kufanya competition na Yanga hamna.

Statistics mmeachwa mbali mpira hata kwa macho mnaona simba ilikua haivuki mstari wa katikati tayar mshaporwa mpira.

Issue ya Refa sisemei kuhalalisha kosa ila haya ya kubebwa kwanini hamkuanzia ile match na Dodoma Jiji mlivyopewa penalty ya kubebwa kwanini hamkusema muanzishe hizo harakat?

Au mnahisi Mashabiki wanaoumiaga ni wa Simba tu unahisi siku ile mashabiki wa dodoma jiji hawakuumia?

Ccm imeharibu sana hii Nchi watu mmkeua wajingajinga sana.
 
Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?

Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
User name badili andika Mpigwa Miti.

HUNA AKILI KUNA MDA HUA NAJIULIZA WHY NIPO JF Na watu kama nyie daaah!!!
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Huu nao ni upuuzi wa kuupuzwa
 
Kweli mtaendelea kufungwa hadi siku mkubali ukweli kua team ya kufanya competition na Yanga hamna.

Statistics mmeachwa mbali mpira hata kwa macho mnaona simba ilikua haivuki mstari wa katikati tayar mshaporwa mpira.

Issue ya Refa sisemei kuhalalisha kosa ila haya ya kubebwa kwanini hamkuanzia ile match na Dodoma Jiji mlivyopewa penalty ya kubebwa kwanini hamkusema muanzishe hizo harakat?

Au mnahisi Mashabiki wanaoumiaga ni wa Simba tu unahisi siku ile mashabiki wa dodoma jiji hawakuumia?

Ccm imeharibu sana hii Nchi watu mmkeua wajingajinga sana.
Umemjibu vizuri.
1. Walinufaika mechi dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupewa penati ya uwongo
2. Mechi na Azam wakafunga goli la Off-side. Watu wakapiga kelele, wao wakajibu "muhimu pointi tatu"
3. Mechi na coastal mwamuzi akamaliza mpira simba ikiwa inaenda kufungwa goli la 3
Haya yote hawakuyaona?!
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
We nawe sasa unachotaka kukianzisha humu ndani ni ugomvi wewe tangaza msiba enda zako
Jana hiyo hiyo yule nyanda wenu alimkanyaga musonda tukanyimwa penati
Yule beki wenu ajaitwa nani sijui alimvuta dube alikuwa mshambuliaji wa mwisho akala njano kama wewe unaujua mpira angalia red kadi aliyopewa saliba jana
#fikirikablayakuongea
 
Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?

Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
Nayajua mawazo ya wanayanga,hoja zenu zimekaa kisiasa kama mnavyocheza mpira wa kisiasa hivyo siwazingatii hata kidogo..cha msingi viongozi w Simba walifanyie kazi hili,mpira wa jana hata sisimizi anajua Simba ilikuw bora sana kuliko yanga na ilistahili ushindi
 
Back
Top Bottom