Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

Nayajua mawazo ya wanayanga,hoja zenu zimekaa kisiasa kama mnavyocheza mpira wa kisiasa hivyo siwazingatii hata kidogo..cha msingi viongozi w Simba walifanyie kazi hili,mpira wa jana hata sisimizi anajua Simba ilikuw bora sana kuliko yanga na ilistahili ushindi
Leta takwimu zinazoonyesha Simba alikuwa Bora zaidi ya yanga, sio maneno matupu!
 
Umemjibu vizuri.
1. Walinufaika mechi dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupewa penati ya uwongo
2. Mechi na Azam wakafunga goli la Off-side. Watu wakapiga kelele, wao wakajibu "muhimu pointi tatu"
3. Mechi na coastal mwamuzi akamaliza mpira simba ikiwa inaenda kufungwa goli la 3
Haya yote hawakuyaona?!
Waambiage hao.
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Wakati Simba inapata ushindi wa dhulma dhidi ya Azam na Dodoma JiJi wadau wali lalamika juu ya maamuzi mabovu ya Marefa.
Msemaji wa Simba akihojiwa na waandishi juu ya malalamiko ayo ya wadau na vilabu alisema: Malalamiko yapelekwe Tff kwakua Kuna Sanduku la maomi.

Mimi nafikri mleta bandiko unge fuata ushauri wa msemaji wa Simba usinge andika Uzi wa namna hii.
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Wewe ni shabiki wa mpira?
 
Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?

Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
Comments reserved
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Msitumie misiba ya watu kuhalalisha vichaa vyenu, Majid anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo muda mrefu, kifo chake kimetokana na kushindwa kumudu gharama za matibabu mbona hamkuchangia pesa za matibabu mbwa nyinyi?

Msemaji wenu kaja kwenye msiba mbona sijaona rambirambi yoyote kutoka makao makuu? Shwaini kabisa.

Acheni ushabiki wa kipuuzi kuumiza hisia za waliompoteza mpendwa wao.
 
Umemjibu vizuri.
1. Walinufaika mechi dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupewa penati ya uwongo
2. Mechi na Azam wakafunga goli la Off-side. Watu wakapiga kelele, wao wakajibu "muhimu pointi tatu"
3. Mechi na coastal mwamuzi akamaliza mpira simba ikiwa inaenda kufungwa goli la 3
Haya yote hawakuyaona?!
Aaaahaaaa
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu).
JamiiForums-31645776.jpeg
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALY AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

CAPO.
 
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.

Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Huyu Aliandaa hili Bango hukuwa na fikra pana, bango hili litakuja kukuwasulubu huko mbeleni, kama silaha ya kejeli subiri mtaona.
 
Back
Top Bottom