Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Labda mlimbebesha hirizi mechi ya Jana!Alafu we admin unafuta thread zangu huna akili muafrika wewe.View attachment 3130985
Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?mashabiki wa simba hamna akili. Yani kwa ulee mpira bado mnalalamikia uonevu. Uongozi wenu umawadanganya sana bil 7 za usajili mmedanganywa. Mara camara kala rushwa mara refa. Mechi zinazo kuja kuna droo zitakuwa nyingi kwa simba kama wasipo badilika. Wachezaji wabinafsi.
Viongozi wa Simba wanapenda mashabiki kama nyie msiokuwa na akili ya mpira. Na ndio maana kila derby wanazusha fulani kauza mechi ili wawe salama muangaike na wachezaji. Na kwa akili zenu hizi timu haitojengeka kamwe. Yanga wamenyinwa penati, Hamza kadi nyekundu, Ateba alitaka kufunga goli la offside ila shukrani ni kwa Diarra.Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Tangazo hilo pia lina wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
User name badili andika Mpigwa Miti.Mpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?
Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
Huu nao ni upuuzi wa kuupuzwaPicha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Umemjibu vizuri.Kweli mtaendelea kufungwa hadi siku mkubali ukweli kua team ya kufanya competition na Yanga hamna.
Statistics mmeachwa mbali mpira hata kwa macho mnaona simba ilikua haivuki mstari wa katikati tayar mshaporwa mpira.
Issue ya Refa sisemei kuhalalisha kosa ila haya ya kubebwa kwanini hamkuanzia ile match na Dodoma Jiji mlivyopewa penalty ya kubebwa kwanini hamkusema muanzishe hizo harakat?
Au mnahisi Mashabiki wanaoumiaga ni wa Simba tu unahisi siku ile mashabiki wa dodoma jiji hawakuumia?
Ccm imeharibu sana hii Nchi watu mmkeua wajingajinga sana.
We nawe sasa unachotaka kukianzisha humu ndani ni ugomvi wewe tangaza msiba enda zakoPicha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Nayajua mawazo ya wanayanga,hoja zenu zimekaa kisiasa kama mnavyocheza mpira wa kisiasa hivyo siwazingatii hata kidogo..cha msingi viongozi w Simba walifanyie kazi hili,mpira wa jana hata sisimizi anajua Simba ilikuw bora sana kuliko yanga na ilistahili ushindiMpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?
Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
Wanamidomoo🤭Utopolo wakishinda huwa wanajifanya wachambuzi nguli...
Acha tuu ndugu yangu..😊😊😊Wanamidomoo🤭