Leta takwimu zinazoonyesha Simba alikuwa Bora zaidi ya yanga, sio maneno matupu!Nayajua mawazo ya wanayanga,hoja zenu zimekaa kisiasa kama mnavyocheza mpira wa kisiasa hivyo siwazingatii hata kidogo..cha msingi viongozi w Simba walifanyie kazi hili,mpira wa jana hata sisimizi anajua Simba ilikuw bora sana kuliko yanga na ilistahili ushindi
Waambiage hao.Umemjibu vizuri.
1. Walinufaika mechi dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupewa penati ya uwongo
2. Mechi na Azam wakafunga goli la Off-side. Watu wakapiga kelele, wao wakajibu "muhimu pointi tatu"
3. Mechi na coastal mwamuzi akamaliza mpira simba ikiwa inaenda kufungwa goli la 3
Haya yote hawakuyaona?!
Wakati Simba inapata ushindi wa dhulma dhidi ya Azam na Dodoma JiJi wadau wali lalamika juu ya maamuzi mabovu ya Marefa.Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
Mwinyi Kazimoto pia waliwahi kumuumiza mchezaji waliyemshindwa ni konde boyYanga Wana mbinu nyingi sana. Wakiona mchezaji ana wasumbua Wana mwumiza makusudi kabisa. Walimvunja Hamza kwa makusudi kabisa.
Walimwumiza hata Kibu ile Mechi ya 5 kwa 1
Wewe ni shabiki wa mpira?Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
[emoji3][emoji23] hilo tusi limenijumbusha kipindi cha "Saro" eroo mura niyeke tombanyoko...Naunga mkono hoja.
Wachezaji wa Simba nao waambiwe wawe serious. Tombanyoko zao kabisa.
Comments reservedMpira upi wa Maana ambao uto waliucheza? Tofauti na goli la kujifunga simba wenyewe kuna shuti lolote la Maana uto walipiga golini au kutengeneza nafasi za wazi?
Kama ni mashuti yalikuwa ya kawaida sawa na simba ambayo huwezi kusema simba walizidiwa Sana mpira. Sema tu nikwavile simba kapoteza mchezo ndiyo Maana wachambuzi wa mchongo mnakuwa wengi wa kuikandya simba
Msitumie misiba ya watu kuhalalisha vichaa vyenu, Majid anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo muda mrefu, kifo chake kimetokana na kushindwa kumudu gharama za matibabu mbona hamkuchangia pesa za matibabu mbwa nyinyi?Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.
Wito wa kuweka tarehe hiyo kama siku ya kuanzisha harakati za kupinga dhuluma, uonevu, hila, rushwa, siasa, na ushabiki kwa waamuzi wa mpira duniani, huku picha ya Majidi ikitumika kama kielelezo cha kampeni hiyo.
AaaahaaaaUmemjibu vizuri.
1. Walinufaika mechi dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupewa penati ya uwongo
2. Mechi na Azam wakafunga goli la Off-side. Watu wakapiga kelele, wao wakajibu "muhimu pointi tatu"
3. Mechi na coastal mwamuzi akamaliza mpira simba ikiwa inaenda kufungwa goli la 3
Haya yote hawakuyaona?!
Unabishana kijana wa Lage?achana Naye huyo hata aliyeongoza ball possession anajufanya hamjui.Leta takwimu zinazoonyesha Simba alikuwa Bora zaidi ya yanga, sio maneno matupu!
Huyu Aliandaa hili Bango hukuwa na fikra pana, bango hili litakuja kukuwasulubu huko mbeleni, kama silaha ya kejeli subiri mtaona.Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali.