Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

Ninaimani Manura ATARUDI mapema.

HAPO HAKUNA KIPA.

Binafsi Sina Imani na Wachezaji karibu wote Nje ya Bara la Africa wanaokuja kucheza Tanzania.

. MAKOSA haya yanajirudia.
1. Wilker Da silver.
2.Thairone Santos .
3.Flaga.
4.Dejan nk.

2. Sijajua kwanini Simba walishindwa KUMSAJILI yule Goal keeper MKAMEROON.

Tuombe Manura APONE haraka.
KIPA katujazia nafasi tungesajili Bangala.
Mnamkumbuka Obren Curckovic mserbia aliewahi kuidakia Yanga 2008-2011? Sina shaka na magoli kipa kutoka nje ya Africa.
 
Unajijua CAFCL.
SUPER CUP.
NBC PLEMIER LEAGUE.

Alcheza kwenye mashindano Madogo
Enzi za GIZA

Kabla ya Instagram, na watsup.
 
Simba hatuna viongozi wazuri, yaani unamwacha Kakolanya kwa kipa unayejua Manura akipona atakuwa anakaa benchi. isitoshe kaja kupunguza nafasi za kusajili kimataifa.

Ameziba nafasi ya Bangala.

Simba ingekuwa na Bangala INGECHEZA FAINALI MOJA KATI YA......

CAFCL.
SUPER CUP.
 
Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia.
uko Kijijini Kwao Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba.

Simba SC kwa Kipa tumekosea mno.
Punguza maneno na acha ujuaji, wewe huyu kipa ulimuona akidaka? Tuwe na akiba ya maneno. Wakati Diarra anakuja Yanga maneno yalikuwa kama haya. Watu walisema alifungwa goli 41 Kwa msimu, kipa boya maneno mengi ila mdaka mishale kawafunga midomo. Kama unaona hafai sajili wako, mpeleke Simba halafu mlipe mshahara.
 
Lazima watu tuseme!
 
Hivi hata wewe upate kazi nchi Fulani kumejaa mazezeta utashindwa kumleta mtoto wa dada yako kweli?

Mimi Bongo ni nimeshafanyakazi sehemu kuna mzungu mwenzao wakampa cheo ana roho Mbaya hatari hata mswahili ana nafuu, kuja kumchunguza vizuri kumbe kule kwao France alikuwa ni gate Man wa night club, na cheti alichonacho ni cha Kungfu tu.

Yani Mimi kidogo tulikuja kuelewa baada ya kujuwa nafahamiana na Japhet Kaseba maana yule mzungu anampenda sana Japhet Kaseba kwenye majudo yao.

Kwahiyo hiyo formula ipo tena kwa wahindi ndio balaa.
Kwahiyo mkuu unataka kusema Simba kumejaa mazezeta?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninaimani Manura ATARUDI mapema.

HAPO HAKUNA KIPA.

Binafsi Sina Imani na Wachezaji karibu wote Nje ya Bara la Africa wanaokuja kucheza Tanzania.

. MAKOSA haya yanajirudia.
1. Wilker Da silver.
2.Thairone Santos .
3.Flaga.
4.Dejan nk.

2. Sijajua kwanini Simba walishindwa KUMSAJILI yule Goal keeper MKAMEROON.

Tuombe Manura APONE haraka.
KIPA katujazia nafasi tungesajili Bangala.
Kipa wa vpers alikua aje kwa bei nzuri,ila robertinho kamtaka mbrazil

Sasa ole wake
 
Back
Top Bottom