Ulimuonea. Wapi akicheza mpaka useme siyo kipa?Tusifichane Simba SC kweli nakiri Safari hii tumejitahidi Kusajili ila kwa Kipa wala tusipepese ukweli ni kwamba tumebahatisha tu na hakuna Kipa hapo.
Mnamkumbuka Obren Curckovic mserbia aliewahi kuidakia Yanga 2008-2011? Sina shaka na magoli kipa kutoka nje ya Africa.Ninaimani Manura ATARUDI mapema.
HAPO HAKUNA KIPA.
Binafsi Sina Imani na Wachezaji karibu wote Nje ya Bara la Africa wanaokuja kucheza Tanzania.
. MAKOSA haya yanajirudia.
1. Wilker Da silver.
2.Thairone Santos .
3.Flaga.
4.Dejan nk.
2. Sijajua kwanini Simba walishindwa KUMSAJILI yule Goal keeper MKAMEROON.
Tuombe Manura APONE haraka.
KIPA katujazia nafasi tungesajili Bangala.
Si maneno yangu, umeusoma vzr Uzi wa genta,Ulimuonea. Wapi akicheza mpaka useme siyo kipa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnamkumbuka Obren Curckovic mserbia aliewahi kuidakia Yanga 2008-2011? Sina shaka na magoli kipa kutoka nje ya Africa.
Simba hatuna viongozi wazuri, yaani unamwacha Kakolanya kwa kipa unayejua Manura akipona atakuwa anakaa benchi. isitoshe kaja kupunguza nafasi za kusajili kimataifa.
Punguza maneno na acha ujuaji, wewe huyu kipa ulimuona akidaka? Tuwe na akiba ya maneno. Wakati Diarra anakuja Yanga maneno yalikuwa kama haya. Watu walisema alifungwa goli 41 Kwa msimu, kipa boya maneno mengi ila mdaka mishale kawafunga midomo. Kama unaona hafai sajili wako, mpeleke Simba halafu mlipe mshahara.Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia.
uko Kijijini Kwao Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba.
Simba SC kwa Kipa tumekosea mno.
Lazima watu tuseme!Punguza maneno na acha ujuaji, wewe huyu kipa ulimuona akidaka? Tuwe na akiba ya maneno. Wakati Diarra anakuja Yanga maneno yalikuwa kama haya. Watu walisema alifungwa goli 41 Kwa msimu, kipa boya maneno mengi ila mdaka mishale kawafunga midomo. Kama unaona hafai sajili wako, mpeleke Simba halafu mlipe mshahara.
Ukiitwa mjinga usiseme umetukanwa.Hivi mkuu Kwa mfano wote tunajua mpira Brazil ndo umezaliwa kule hata Kama ni ligi daraja la 10 Kwa bongo hii na Afrika Bado sana
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo utakuwa mjinga wa Kwanza na VP akija akafanya vizur mtasemajeUkiitwa mjinga usiseme umetukanwa.
Kwahiyo mkuu unataka kusema Simba kumejaa mazezeta?Hivi hata wewe upate kazi nchi Fulani kumejaa mazezeta utashindwa kumleta mtoto wa dada yako kweli?
Mimi Bongo ni nimeshafanyakazi sehemu kuna mzungu mwenzao wakampa cheo ana roho Mbaya hatari hata mswahili ana nafuu, kuja kumchunguza vizuri kumbe kule kwao France alikuwa ni gate Man wa night club, na cheti alichonacho ni cha Kungfu tu.
Yani Mimi kidogo tulikuja kuelewa baada ya kujuwa nafahamiana na Japhet Kaseba maana yule mzungu anampenda sana Japhet Kaseba kwenye majudo yao.
Kwahiyo hiyo formula ipo tena kwa wahindi ndio balaa.
Jamaa alijitahidi kwa kweli.Mnamkumbuka Obren Curckovic mserbia aliewahi kuidakia Yanga 2008-2011? Sina shaka na magoli kipa kutoka nje ya Africa.
Wewe naye kila uzi Bangala Bangala kwani ni lazima!!Ameziba nafasi ya Bangala.
Simba ingekuwa na Bangala INGECHEZA FAINALI MOJA KATI YA......
CAFCL.
SUPER CUP.
Simba haikumuhitaji bangala na hata usajili wa Sasa hivi umejaa mihemko Simba ilikuwa inahitaji marekebisho machache sanaAmeziba nafasi ya Bangala.
Simba ingekuwa na Bangala INGECHEZA FAINALI MOJA KATI YA......
CAFCL.
SUPER CUP.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hata wewe upate kazi nchi Fulani kumejaa mazezeta utashindwa kumleta mtoto wa dada yako kweli?
Mimi Bongo ni nimeshafanyakazi sehemu kuna mzungu mwenzao wakampa cheo ana roho Mbaya hatari hata mswahili ana nafuu, kuja kumchunguza vizuri kumbe kule kwao France alikuwa ni gate Man wa night club, na cheti alichonacho ni cha Kungfu tu.
Yani Mimi kidogo tulikuja kuelewa baada ya kujuwa nafahamiana na Japhet Kaseba maana yule mzungu anampenda sana Japhet Kaseba kwenye majudo yao.
Kwahiyo hiyo formula ipo tena kwa wahindi ndio balaa.
Kipa wa vpers alikua aje kwa bei nzuri,ila robertinho kamtaka mbrazilNinaimani Manura ATARUDI mapema.
HAPO HAKUNA KIPA.
Binafsi Sina Imani na Wachezaji karibu wote Nje ya Bara la Africa wanaokuja kucheza Tanzania.
. MAKOSA haya yanajirudia.
1. Wilker Da silver.
2.Thairone Santos .
3.Flaga.
4.Dejan nk.
2. Sijajua kwanini Simba walishindwa KUMSAJILI yule Goal keeper MKAMEROON.
Tuombe Manura APONE haraka.
KIPA katujazia nafasi tungesajili Bangala.
Huyo hapewi mechi hata mojaHapa kwa goli kipa wamezingua!