Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

Umeanza usumbufu wako, utadhani unachangia lolote katika gharama za usajili. Wewe subiri kitakachoandaliwa tu basi.
 
Sisi viongozi tunasema hivi mtakufa nae huyu huyu goli kipa tumeshafunga mambo ya usajiri kwasasa..labda afie langoni pale tu atapofurumushiwa mashuti ya nguvu na akina aziz k na lile striker kubwa la azam fc.
 
Robertinho Oliveira......... Jaffersom Louis Oliveira

NB: zingatia Hilo jina Oliveira
 
Fraga umemkosea heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…