Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.

Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?

Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
Onana mpe muda utakuja kunishukuru baadae huyo ni fundi sana sema ubishoo mwingi wa CR7 ndio unamuharibu,mpe muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…