Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.

Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?

Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
Onana siyo mchezaji anayestahili kucheza Simba.
Hii ligi ya Tanzania inatumia maguvu sana.Ukileta mchezaji nyoronyoro kama Onana akitishwa kidogo tu na mabeki anapoteza kiwango na mwelekeo.
Tunapaswa kuacha wachezaji wenye msuli walio tayari kugongana uwanjani bila hofu
 
Mkuu Genta upo sahihi 100%. Kwa Simba hii ambayo viongozi wanajitapa kwenda kubeba kombe la shirikisho huyo Onana na mwenzake Fredy "funga funga" walitakiwa wasiwepo. Na hapa Simba ndio wamebugi maana bora wangewaondoa hao wawili halafu wakaadjust hesabu vizuri wamlete Mpanzu ili wawe na uhakika wa kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF halafu pesa ingeingia vizuri tu kufidia hizo gharama. Kuna faida gani kuwa na Freddy na Onana kwenye kikosi wakati Mpanzu mmoja anaweza kuwawakilisha wote wawili.

Na wasipoangalia ya Mpanzu yanaweza kuwa kama ya Manzoki jamaa wakampiga bei kwenye timu nyingine itakayofika bei wakati wao Simba wanasubiria wamchukue bure baada ya miezi minne.
 
Dili la Mpanzu ni gumu kwakua ndio alikua mbadala wake Mabosi wa AS Vital Wameweka dau la 250,000usd ili wamuachie,hapo ndio ugomu uliopo ndio maana Onana alichelewa hata kutumiwa ticket arudi alikua ni moja ya watu wanaoondoka
Huyo tajiri ambaye tunaambiwa ametoa hela nyingi anashindwaje kutoa 250,000 usd kwa mchezaji kama mpanzu wakati tunaambiwa Kibu amewakamua zaidi ya milioni 350?
 
Halafu hapo kaachwa general phiri, kabaki onana, sijui kwasababu wajina wake anacheza Manchester united [emoji1787][emoji23]
Phiri hata alikokwenda ametemwa viwango vya wachezaji havidumu milele
 
Onana siyo mchezaji anayestahili kucheza Simba.
Hii ligi ya Tanzania inatumia maguvu sana.Ukileta mchezaji nyoronyoro kama Onana akitishwa kidogo tu na mabeki anapoteza kiwango na mwelekeo.
Tunapaswa kuacha wachezaji wenye msuli walio tayari kugongana uwanjani bila hofu
Mkuu umenifanya Nicheke sana kwani umenikumbusha Mchezaji Rafiki Beki Kelvin Yondani 'Cotton' ndiyo alikuwa akipenda mno kuwapiga Mikwara Mafowadi wenye Viherehere na wakati hao Washambuliaji wakidhani alikuwa akitania kuna muda alikuwa akiwapelekea kweli Shughuli ama ya Krachi au Vipepsi huku Kisirisiri akiwapiga Ndoo / Vichwa na kama kuna Mshambuliaji aliyeteswa mno na huu Uhuni wake ni Mganda Emanuel Robert Okwi. Na wakati anafanya hivyo tayari Kichwani Bange / Bange anazovuta na Mwalimu wake wa Bange / Bangi kwa Wachezaji wote Tanzania Haruna Moshi Boban kule Kimara ziko / zimekolea Kichwani.
 
Mkuu Genta upo sahihi 100%. Kwa Simba hii ambayo viongozi wanajitapa kwenda kubeba kombe la shirikisho huyo Onana na mwenzake Fredy "funga funga" walitakiwa wasiwepo. Na hapa Simba ndio wamebugi maana bora wangewaondoa hao wawili halafu wakaadjust hesabu vizuri wamlete Mpanzu ili wawe na uhakika wa kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF halafu pesa ingeingia vizuri tu kufidia hizo gharama. Kuna faida gani kuwa na Freddy na Onana kwenye kikosi wakati Mpanzu mmoja anaweza kuwawakilisha wote wawili.

Na wasipoangalia ya Mpanzu yanaweza kuwa kama ya Manzoki jamaa wakampiga bei kwenye timu nyingine itakayofika bei wakati wao Simba wanasubiria wamchukue bure baada ya miezi minne.
Nimependa huu Uchambuzi wako Mkuu.
 
Msimu uliopita ulikua kimya! Kumbe ulijificha jiandae kujificha na msimu huu pia
Soka mie ni kitambo saana, sinaga ngenga saaana, japo mara 1 moja natania.

Kwangu soka ni starehe zaidi kuliko ushabiki.
 
Kwahiyo tunaajiri Mtu kwa ajili ya Kulisha Familia yake ila huku katika Utendaji anaharibu na haonyeshi Ufanisi? Uko sawa Kichwani Wewe?
Kichwani kwangu zimejaa kamasi....wanaomlipa wanaona anafaa sasa mimi ni nani nimfukuze
 
Back
Top Bottom