Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

Yanga wakati wanatumia pesa kusajili wachezaji wa as vita makolo wakawa wanabeza ni wa mkopo,timu gani itamtoa mchezaji wake tegemeo kwa mkopo,wameshindwa kumnunua mpenzu toka as vita wakaona bora waendelee na onana 😂
Uko sahihi 100% kwa Maelezo yako. Naona Dili la Mpenzu Boss kaona litammalizia Faida yake yote ya Mo Energy Drink.
 
Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.

Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?

Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
Msisahau kama onana ndo.sababu ya kwenda robo fainal akiikanda wydad bao 2 vp kama onana asinge zama kamban af wapinzani wenu wakenda robo fainal nyie mkaishia makindi ingekua aibu kiasi gani ???

Onana msimu jana haukua vizur kwanzia viongozi mpk wachezaji ata performance ya chama ilipungua kwasabbu kulikua hakuna muunganiko mzur wa viongozi, msimu mmoja makocha wa 3 tofaut tofaut duuh🤔🤔

Onana acha apewe muda uyo ndo CR7 wa simba bila kusahau fred michael funga funga top score msimu ujao kama muunganiko utakua mzuri
 
Pamoja na yote technical bench watengeneze Psychology ya wachezaji.

Fighting spirit haikuwepo kabisa kwa wachezaji last season.

Baada ya kupigwa 5- 1 timu ilipotea mpaka msimu ukaisha.
 
Nachukia sana kusoma Posts za Watu ambao hawajui na hawaujui Mpira.
 
Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.

Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?

Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
Hilo la kwenda saloon ni maisha yake binafsi unatakiwa uelewe hilo
 
Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.

Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?

Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
Dili la Mpanzu ni gumu kwakua ndio alikua mbadala wake Mabosi wa AS Vital Wameweka dau la 250,000usd ili wamuachie,hapo ndio ugomu uliopo ndio maana Onana alichelewa hata kutumiwa ticket arudi alikua ni moja ya watu wanaoondoka
 
Pamoja na yote technical bench watengeneze Psychology ya wachezaji.

Fighting spirit haikuwepo kabisa kwa wachezaji last season.

Baada ya kupigwa 5- 1 timu ilipotea mpaka msimu ukaisha.
Ha ha ha ha ha ha ha

Na kwenye Ngao ya jamii kuna uwezekano Simba akatandikwa tena bao 3 mpaka 5.
 
Back
Top Bottom