Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi.

Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
 
Msiingilie kazi ya kocha yy ndiye anayeona uwezo wa wachezaji mazoezini.
MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,

Kwahyo tutaendelea kupiga kelele za Phili hadi pale atakapopewa nafasi tena na kuaminiwa kwenye kikosi cha 11.

Phili sio wa kugombea nafasi na KIBU na Boko.
 
Hamna timu pale. Hata mimi nikipiga tisini wiki moja kukata tumbo na kuongeza siamini nachukua namba pale simba. Hao akina Luis watakaa benchi.
 
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.

Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Na wakati anamtowa Chama dakika ya 30 tu first half, last season ilikuwa ni maelekezo ya kiongozi mwandamizi?
 
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.

Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Masikia Phiri wanataka kumpeleka kwa Mkopo Singida
 
Kiujumla Simba bado sana kiuchezaji, timu hii italiza sana watu msimu huu.
 
Kama Simba itamuachia kocha KAZI zote za kupanga kikosi baas Simba itafika mbali lakini kama itaendelea kumpangia kikosi tumekwishaa.
 
MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,

Kwahyo tutaendelea kupiga kelele za Phili hadi pale atakapopewa nafasi tena na kuaminiwa kwenye kikosi cha 11.

Phili sio wa kugombea nafasi na KIBU na Boko.
Kwenye mpira kuna mfumo wa kocha na nyinyi mashabiki, kocha kwenye mfumo wake anaona hamfai au labda mzoezini hafanyi vizuri.Mpeni uhuru kocha ili akiharibu hasiwe na sababu.

Ila haimaanishi Phiri ni mbaya kwani ana uwezo wa kuperform timu nyingine, ila najiuliza kama alikuwa anaona hamfai kwa nini hasingemwacha dirisha hili au yalikuwa ni matakwa ya viongozi Kubaki.
 
Robatinho alikuwa anamuweka bench Chama kwa kisingizio cha haendani na mfumo ,.
Lakini baada ya kelele za mashabiki sasa Robatinho yupo kwenye mfumo wa chama.

Tutapiga kelele za Phiri kwa Robatinho ili aingie ktk mfumo wa Phiri kama alivyoingia ktk mfumo wa Chama.
 
MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,

Kwahyo tutaendelea kupiga kelele za Phili hadi pale atakapopewa nafasi tena na kuaminiwa kwenye kikosi cha 11.

Phili sio wa kugombea nafasi na KIBU na Boko.
Sasa kuna maana gani ya kuwa na kocha si muwe mnawafundisha wenyewe wachezaji wenu?
 
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.

Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Sifuri inawahusu msimu huu!
 
Mwaka jana kubwa Mechi kubwa kama WYDAD
 
Robatinho alikuwa anamuweka bench Chama kwa kisingizio cha haendani na mfumo ,.
Lakini baada ya kelele za mashabiki sasa Robatinho yupo kwenye mfumo wa chama.

Tutapiga kelele za Phiri kwa Robatinho ili aingie ktk mfumo wa Phiri kama alivyoingia ktk mfumo wa Chama.
Wanatakiwa wachezaji 11 wakati mnataka Phiri acheze nani akae bench?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.

Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Unatishia badala ya kuongea Phiri akacheza.
 
Back
Top Bottom