Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

Kama Simba itamuachia kocha KAZI zote za kupanga kikosi baas Simba itafika mbali lakini kama itaendelea kumpangia kikosi tumekwishaa.
Kocha huyu huyu aliyetuletea kipa Mbrazil? Au yule aliyemleta na Outarra huku akituaminisha ni bonge la beki?

Hawa makocha kuna wakati huwa siwaamini sana. Kuna mwaka mmoja likocha limoja lijinga lilimkataa Hamis Tambwe, tena akiwa top scorer, can you imagine? Tambwe akiwa amekata tamaa, amekata tiketi ya kurudi kwao Burundi, Utopolo wakamfata, akasinya saini, na mwisho wa musimu akawa top scorer tena. Nilipata hasira na aibu kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom