GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,Msiingilie kazi ya kocha yy ndiye anayeona uwezo wa wachezaji mazoezini.
Na wakati anamtowa Chama dakika ya 30 tu first half, last season ilikuwa ni maelekezo ya kiongozi mwandamizi?Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Masikia Phiri wanataka kumpeleka kwa Mkopo SingidaHaiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Nimegundua ni ngumu sana kuelewa soka la bongo ,watu wanataka nn? Hasa mashabiki wa Simba Sc wanajua kila kitu ,iwe Kuchambua mpira,kupanga timu ,kuandaa sherehe , kufanya yoteNa wakati anamtowa Chama dakika ya 30 tu first half, last season ilikuwa ni maelekezo ya kiongozi mwandamizi?
UnaotaKiujumla Simba bado sana kiuchezaji, timu hii italiza sana watu msimu huu.
Kwenye mpira kuna mfumo wa kocha na nyinyi mashabiki, kocha kwenye mfumo wake anaona hamfai au labda mzoezini hafanyi vizuri.Mpeni uhuru kocha ili akiharibu hasiwe na sababu.MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,
Kwahyo tutaendelea kupiga kelele za Phili hadi pale atakapopewa nafasi tena na kuaminiwa kwenye kikosi cha 11.
Phili sio wa kugombea nafasi na KIBU na Boko.
Robatinho alikuwa anamuweka bench Chama kwa kisingizio cha haendani na mfumo ,.Kwenye mpira kuna mfumo wa kocha na nyinyi mashabiki, kocha kwenye mfumo wake anaona hamfai au labda mzoezini hafanyi vizuri.Mpeni uhuru kocha ili akiharibu hasiwe na sababu.
Ila haimaanishi Phiri ni mbaya kwani ana uwezo wa kuperform timu nyingine, ila najiuliza kama alikuwa anaona hamfai kwa nini hasingemwacha dirisha hili au yalikuwa ni matakwa ya viongozi Kubaki.
Sasa kuna maana gani ya kuwa na kocha si muwe mnawafundisha wenyewe wachezaji wenu?MASHABIKI walipopiga kelele kuhusu chama kutoendana na mfumo wa Robetino kelele zilipigwa na sasa Chama ndy first 11,
Kwahyo tutaendelea kupiga kelele za Phili hadi pale atakapopewa nafasi tena na kuaminiwa kwenye kikosi cha 11.
Phili sio wa kugombea nafasi na KIBU na Boko.
Sifuri inawahusu msimu huu!Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Wanatakiwa wachezaji 11 wakati mnataka Phiri acheze nani akae bench?Robatinho alikuwa anamuweka bench Chama kwa kisingizio cha haendani na mfumo ,.
Lakini baada ya kelele za mashabiki sasa Robatinho yupo kwenye mfumo wa chama.
Tutapiga kelele za Phiri kwa Robatinho ili aingie ktk mfumo wa Phiri kama alivyoingia ktk mfumo wa Chama.
Unatishia badala ya kuongea Phiri akacheza.Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila Kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha Chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?