GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini......?
1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi.
2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba SC wakiingia Wote Nyomi litakuwa Kubwa, Watu watakuwa karibu na Uwanja na Shangilia yetu wana Simba SC basi Kelele zetu zinaweza kuwafanya hata Wenyewe akina Gendamarie na Berkane wawe kila mara tu Wanajifunga Magoli kwa Hofu na Ushangiliaji.
3. Kiufundi Uwanja wa Uhuru utatufaa Wazee wa Fitna na Umafia kwani kuna Umafia wa uhakika ( wafk Kimchezo ) tunataka Kuufanya Kimkakati hapo ili Waweze kupata vipigo Vitakatifu wote tu .